Nilishuhudia Mwezi pamoja na nyota zikiwa karibu zaidi. Je, inaashiria nini?

Nilishuhudia Mwezi pamoja na nyota zikiwa karibu zaidi. Je, inaashiria nini?

Zinaoneka

Hayo ni macho yetu tu wanadamu. Hiyo Sayari ipo mbali sana na mwezi. Kumbuka mwezi ni wa dunia hii tu kila sayari ina mwezi wake.
Venus is one of only two planets in our solar system that doesn't have a moon, but it does have a quasi-satellite that has officially been named Zoozve .
 
Habari zenu Wanajamiiforums.

Jana katika anga nilishuhudia Mwezi pamoja na nyota zikiwa karibu zaidi, Je kinaashiria nini?

Location MARA somewhere.

Mwenye elimu ya kitu kama hiki atufafanulie.

View attachment 3191974
Leo Mwezi hilali ulionekana kuwa jirani kabisa na sayari Zohali (Saturn). Haikuwashtua watu wengi kwa vile Zohali imefififa ikilinganishwa na Zuhura (Venus) ambayo ilionekana pekee chini ya jozi ya Mwezi na Zohali
 
Attachments

  • IMG_4606.png
    IMG_4606.png
    2.4 MB · Views: 4
Kwa muonekano wa macho ungeweza kudhani vipo karibu (kama mita moja tu!). Ukweli ni kwamba ile ni sayari ya Venus (Zuhura) ambayo ni sayari ya pili toka kwa Jua (Solar). Ikumbukwe pia mwezi upo karbu zaidi ya Dunia kuliko sayari hiyo. Kilichotokea ni kwamba Dunia na Venus vilikuwa katika mfungamano/mfuatano (planetary alignment); na kwa vile mwezi huwa unaizunguka Dunia, nao ukajikuta katika mfuatano huo. Hii ilidumu saa kadhaa na baadaye vikaachana!
Aidha inatarajiwa tarehe 25 January, sayari sita zitakuwa katika mfuatano huo na katika hizo nne zitaweza kuonekana dhahiri; hizo ni Venus, Mars, Jupiter na Saturn.
Magimba ya angani kuonekana jirani na nyingine ni kwa vile vipo mueleko sawa na huko unakoangaklia ingawa vinakuwa vimepishana sana kuwa umbali kati yao. Ni kama vile unaweza kuona tawi la mti unaona jirani au pamoja na wingu fulani angani ingawa wingu liko mbali sana kuliko tawi.
 
Hii hubadilikabadilika siyo January tu na wala siyo Tanzania tu ni worldwide, hiyo Venus imeanza kuonekana upande wa Magharibi baada ya jua kuzama tangu mwaka jana 2024 October, na kama ukiwa location nzuri hata Mecury ungeweza kuiona mida hiyohiyo na itafika kipindi sayari hizo mbili zitaonekana upande wa Mashariki alfajiri kabla ya jua kuchomoza, na hata wakati mwingine kutegemeana na hali ya hewa Venus huonekana hata kabla na baada ya jua kuzama au kuchomoza iwapo utafuatilia location yake kwa makini.

Mwezi hauko fixed, unahama kwa speed maalumu, hivyo ukitazama leo hutauona pale kwenye sayari ya Venus

Hizi sayari zinaonekana hata bila binoculars, kwa mfano muda huu toka nje katazame upande wa Mashariki Kaskazini utaiona Jupiter inang'aa sana, kuna majira siku si nyingi zijazo utaweza kuona lineup ya sayari nyingi zaidi ikiwemo Saturn na zile zingine mbili za mwishoni kule japo hizo huonekana kwa shida sana
Ni kweli hata sasa hivi sayari zote hizo zinaonekana kiasi saa tatu hivi usiku. Ila ikifika Januari 25 sayari Mirihi (Mars) itaanza kuonekana kuanzia saa ya magharibi na wakati huo itang’aa zaidi kwa Tanzania tutaziona sayari kwa mpangilio wa mstari wa angani kutoka mashariki hadi magharibi inavyoonekana katika picha hii.

Zuhura (Venus), Mshtarii (Jupiter) na Mirihi (Mars) zitang’aa sana wakati Zohali (Saturn) imefifia ingawa inawezekana kutofautsha sayari kwa vile hazimeremrti. Saysri za Uranus na Neptun huwezi kuona kwa macho pekee unahitaji darubini nzuri.
 
Attachments

  • eb41edc6-aa2c-4647-8ca7-65a9843b4d98.jpeg
    eb41edc6-aa2c-4647-8ca7-65a9843b4d98.jpeg
    84.6 KB · Views: 5
Kwa muonekano wa macho ungeweza kudhani vipo karibu (kama mita moja tu!). Ukweli ni kwamba ile ni sayari ya Venus (Zuhura) ambayo ni sayari ya pili toka kwa Jua (Solar). Ikumbukwe pia mwezi upo karbu zaidi ya Dunia kuliko sayari hiyo. Kilichotokea ni kwamba Dunia na Venus vilikuwa katika mfungamano/mfuatano (planetary alignment); na kwa vile mwezi huwa unaizunguka Dunia, nao ukajikuta katika mfuatano huo. Hii ilidumu saa kadhaa na baadaye vikaachana!
Aidha inatarajiwa tarehe 25 January, sayari sita zitakuwa katika mfuatano huo na katika hizo nne zitaweza kuonekana dhahiri; hizo ni Venus, Mars, Jupiter na Saturn.
Tunasubiri tar 25
 
Chombo cha nasa kimegonga jua. Jua litaiangukia dunia itakua ni maangamizi matupu. Dunia itabaki bila kiumbe hai na itageuka kuwa plastic na majivu. Baadae vitaibuka viumbe vya ajabu ajabu kutoka kwenye mabaki ya wanyama na binadamu.
Chombo cha NASA iiitwayo
Parker imegusa eneo la nje la angahewa ya Jua (solar corona). Yaani haijagonga kitu manaake huko juani hakuna sakafu ngumu)

Corona ya Jua ni ya ajabu maana sana sana kuliko sakafu ya Jua, yaani ni nyuzinoto milioni moja (1,000,000 deg C) wakati sakafu ya Jua ni nyuzinoto elfu sita (6,000 deg C).

Cha ajabu ni kwamba chombo cha Parker kimeweza kuvumilia joto la corona.
 
Asante mkuu kwa ufafanunuzi murua. Ila nasa waache kiherehere, wataangusha jua bila kujua.
 
mbowe na genge lake sasa watupishe maana kama kula wamekula sana hadi wamevimbewa watuachie nasisi sasa
 
Sayari ya Venus, Mars na Saturn, Jupiter na mwezi zinaonekana kwa macho kwenye anga mwezi huu January 2025.
 
Kuna nyingine mbili zipo aligned lakini haziwezi kuonekana kwa macho mpaka darubini.
 
Location ya kanda ya kati nyota ilikuwa juu kidogo pembeni kulia kiasi cha kufanya kama ile nyota na mwezi ya msikitini. Na jana ilikuwa ijumaa siku ya kuabudu waislam. Hiyo mwezi na nyota kukaribiana hivyo haikuwashangaza waislam wakati ni alama yao
Alama inayotumiwa na waislamu,

Sio alama ya waislamu
 
Back
Top Bottom