Nilisikia kwamba eti...

Ndo unajibuje..Me too??
Naona umeweka picha ya HS akiwa mdogo
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nimemmiss alivyokuwa mtoto maana sasa hivi karibia ananishinda tabia.
 
niliskia eti peti man anampeti peti wema ana bikra sasa sijua hiyo bikra ni ya masikioni au puani ndo sijaelewa sasa
 
Habari wana-chit-chat!
Anza sentensi kwa maneno "Nilisikia kwamba eti...."

Mfano;
Nilisikia kwamba eti ukikaa kimya kwa mda mrefu kinywa kinanuka.!
Nilisikia kwamba eti ukimuona mwanamke anashuhulikia sana sura yake kutinda nyusi,mawanja na lipstick,ujue ikulu kumejaa prawns!
 
nilisika eti jamaa huyu wa dar mkuu anachana malinda kila siku
 
Eti nasikia kwamba nchini Tanzania ni mahali pekee duniani penye mafuriko Jangwani
 
Nmeskia uz bdo upo upone
Nmetia kuwa salimia
 
Nilisikia kwamba eti mondray ulimsingizia ......
 
Nlisikie[emoji101] nkaona[emoji102] that JF is full of fun, it never stops to amaze me[emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…