Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndo unajibuje..Me too??
Naona umeweka picha ya HS akiwa mdogo
Nimemmiss alivyokuwa mtoto maana sasa hivi karibia ananishinda tabia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndo unajibuje..Me too??
Naona umeweka picha ya HS akiwa mdogo
Nilisikia kwamba eti ukimuona mwanamke anashuhulikia sana sura yake kutinda nyusi,mawanja na lipstick,ujue ikulu kumejaa prawns!Habari wana-chit-chat!
Anza sentensi kwa maneno "Nilisikia kwamba eti...."
Mfano;
Nilisikia kwamba eti ukikaa kimya kwa mda mrefu kinywa kinanuka.!
Nilisikia kwamba eti Antonio de Guzman ni member mzuri wa CHAPUTA
Mimi? Hapana.... Labda itokee tu...naskia eti wewe ni mla papuchi za wazee hapa mjini
Nikisema nakupenda ntakuwa nakukinaisha?? Maana hili neno sasa limezoa kunitoka kila nikuonapo.Nasikie eti babu unaniita, ko unataka kuniambiaje love
Mbona hujamsemea muda wote huonakusemea
Hehehe
Anachonga sana juu yetu... achana naye.Mbona hujamsemea muda wote huo
Dada nilikua nakutafuta kuna mda nimeona umeniquote kurudi kuangalia umenipotea nakuta notification nyingiMbona hujamsemea muda wote huo
Usijali, we sema mara nyingi uwezavyo!!! Hilo neno ndo uhai wanguNikisema nakupenda ntakuwa nakukinaisha?? Maana hili neno sasa limezoa kunitoka kila nikuonapo.