Nilitahadharisha hapa kuwa 'Kesi' imemkalia vibaya 'Mwamba' na hachomoki kirahisi nikaishia Kushambuliwa

Nilitukanwa sana hapa na Wafuasi wake wakati GENTAMYCINE nilikuwa na nia njema nae tu ili asaidiwe Kiushauri na Kimawazo na Wadau mpaka Wataalam wa Kisheria.

Sasa kuanzia leo tutaheshimiana vizuri.
Mbona kama unatumia matokeo ya hukumu ya huyo jaji kibaraka kama mtaji wa kujitafutia "Cheap Popularity" humu na kama unashangilia shangilia vile.
 
Sawa lakini sisi wengine hatujui kabisa sharia ni wataalam tu kwa neno na ukusanyaji wa sadaka na kuwapeleka watu kwa Mungu tudadavulie ndugu
 
Nilitukanwa sana hapa na Wafuasi wake wakati GENTAMYCINE nilikuwa na nia njema nae tu ili asaidiwe Kiushauri na Kimawazo na Wadau mpaka Wataalam wa Kisheria.

Sasa kuanzia leo tutaheshimiana vizuri.
Sasa wewe unaona haki imetendeka,kesi ya jambazi Sabaya unailinganisha vipi na kesi ya Mbowe
 
Hukumu ya Mandela nayo ilikuwa ni ya Kimkakati na 'Political Oriented' kama ya huyu 'Mwamba' wenu?

Endeleeni tu kujipa Moyo ila hachomoki.
Mboye kafungwa tayari.Mabeberu watake wasitake Mboye kafungwa.Ata wakitunyima misaaada kwa kukiuka haki za binadamu hatujali.
Hukumu ya Mandela nayo ilikuwa ni ya Kimkakati na 'Political Oriented' kama ya huyu 'Mwamba' wenu?

Endeleeni tu kujipa Moyo ila hachomok
 
Sikiliza mkutano wa Chadema Makao makuu leo saa 6 mchana
Mnataka Kuhamasishana Kipuuzi kama Kawaida yenu ili muandamane? Tena nawaonya mkithubutu kutaka Kuandamana ili Kumjaribu Mama Bi. Hangaya mtakachokipata kutoka kwa Kikosi Maalum cha Kimedani ndani ya Polisi hamtakaa msahau na huenda hata baadhi yenu Makwenu huko Turubai zikafungwa na nyimbo za Parapanda zikaimbwa mno na Watakaokuwepo.
 
Sasa kama umeshasema ni mkakati na nadhani unamaanisha wa wenye nchi yao.

Sasa Nini Tena ungeshauri ambacho kingeshinda wenye nguvu??

Wee ACHA mambo yaende hivyo hivyo!!
 
Sasa ww maamuma unajua kipi cha kufikiri.. kwakukusaudia ili uondoke na ujinga ulionao.. nenda youtube search maria space ya jana upate somo kutoka kwa adv matata na fatma karume naamini hatarudia tena kuwa mpuuuz kwenye mambo usiyo na upeo nayo.
Matusi yenu kama haya ndiyo niliyataka.
 
Mboye kafungwa tayari.Mabeberu watake wasitake Mboye kafungwa.Ata wakitunyima misaaada kwa kukiuka haki za binadamu hatujali.
hahaha FYI hao mabeberu ndio wanalipa mishahara yenu kwa kiasi kikubwa, so kwako bora mbowe afungwe kwa kesi ya kubumba kuliko ajira na mishahara yenu, maskini wakubwa wa akili nyie ndio maana nchi haiendelei
 
Wakimfunga Mbowe ndio litakuwa anguko la CCM
Kama CCM haikuanguka mwaka 2015 sahau kuona ikianguka ila ninachojua tu ni kwamba tayari CHADEMA imeshakufa na imebakia tu kwenda Kuzikwa rasmi ili Mtoto mpya wa Upinzani ACT Wazalendo na NCCR-Mageuzi nao kwa Umoja na Muungano wao waanze Kula Maisha ya Ruzuku Kubwa huko baadae.
 
Kuandika mawazo yako JF ni bure kabisa, CCM wataishia kama vyama vingine tuu na sio mbali sana kama unavyofikiria na wako busy kujimaliza bila kujua
 
Umeenda shule lakini hujaelimika, bado una ujinga mwingi kichwani
 
Duuh! Kumbe kina kitu nyuma ya pazia kwenye issue ya Sabaya?!
 
Kwa nini Jaji amepewa cheo wakati anaaikilkA kesi hii??

Je kuna uhuru wa mahakama hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…