Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Na ndo mana ilianza Kwanza ili kusafisha rungu ,Nami nasema anyongweIssue ya Sabaya ilikuwa mtego, na walinasa 100%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndo mana ilianza Kwanza ili kusafisha rungu ,Nami nasema anyongweIssue ya Sabaya ilikuwa mtego, na walinasa 100%
Dunia hii,,,,mbaya sanaMwamba wao aanze sasa taratibu kufanya Mazoezi ya kuyaanza Maisha mapya ya Kukaa Jela ambayo yanamjia kwani kwa Kilichotokea 'Mvua' ya kati ya mwaka Mmoja mpaka Mitatu haiepukiki Kwake. Ni suala la muda tu.
Nilitukanwa sana hapa na Wafuasi wake wakati GENTAMYCINE nilikuwa na nia njema nae tu ili asaidiwe Kiushauri na Kimawazo na Wadau mpaka Wataalam wa Kisheria.
Sasa kuanzia leo tutaheshimiana vizuri.
Kumbe kuna wakati unakuwa vizuri mkuu.Kipindi sabaya anafungwa,mahakama ilikuwa huru? Tusijisahau makamanda.
Naona mnalazimisha kuchanganya maamuzi ya kesi ya Mbowe na Sabaya, mkiamini kabisa hatujui tofauti yake. Kesi ya Sabaya ni mashitaka ya dhahiri tena na mashahidi wa unyama ule wasiotiliwa shaka.Mkuu tena nakumbuka niliwaambia kuwa kama Sabaya atafungwa basi na Mwamba wao atafungwa na akiachiwa Huru nae Mwamba ataachiwa na kuwapa sababu ya 'Kimkakati' juu ya hili wakaacha Kunielewa na Kunitusi na Kunishambulia tu hapa.
Haya leo kiko wapi? Nikionya kinakuja.
Duuuuh!!!hii mpya aiseeNi punguani peke yake ndiye anaweza kuamini kuwa Tanzania kuna mahakama au mifumo ya kutenda haki.
Sabaya anaburuzwa kwa maelekezo kutoka juu kisa alimtukana Chief Hangaya tusi la nguoni enzi za mwendakuzimu alipokuwa hai.Tusi hilo huwezi hata kuliandika hapa,lilikuwa ni tusi la nguoni kwelikweli.
Kipindi sabaya anafungwa,mahakama ilikuwa huru? Tusijisahau makamanda.
Ulikuwepo wakati anamtukana?Ni punguani peke yake ndiye anaweza kuamini kuwa Tanzania kuna mahakama au mifumo ya kutenda haki.
Sabaya anaburuzwa kwa maelekezo kutoka juu kisa alimtukana Chief Hangaya tusi la nguoni enzi za mwendakuzimu alipokuwa hai.Tusi hilo huwezi hata kuliandika hapa,lilikuwa ni tusi la nguoni kwelikweli.
Majaji wangapi wameikimbia unaposema kila jaji? Jaji wa kwanza mlimkataa, mkaletewa huyu wa Sasa, huyu wa Sasa kapanda Cheo hivyo majukumu yameongezeka, naye nafsi yake imemsuta ameona Kwa majukumu aliyonayo Sasa atachelewesha kesi, Bora aachane nayo! Au mlikuwa mnataka jaji aendelee na kesi na awe anapiga kalenda kila siku kesi iende miaka 2? Haya si ndiyo tumekuwa tunayapinga kila siku, full exaggerationNaona mnalazimisha kuchanganya maamuzi ya kesi ya Mbowe na Sabaya, mkiamini kabisa hatujui tofauti yake. Kesi ya Sabaya ni mashitaka ya dhahiri tena na mashahidi wa unyama ule wasiotiliwa shaka. Kesi ya Mbowe ni ya kubambikizia mmoja wapo wa waliotengeneza hiyo kesi ni Sabaya, ambaye leo hii ni mfungwa kwa ushahidi usioacha shaka, chini ya jeshi la polisi linalotumika na serikali kutekeleza unyama. Ndio maana unaona kila jaji sasa anaikimbia kesi hiyo ya Mbowe, maana serikali inalazimisha hukumu isiyoendana na ushahidi. Imeisha hiyo.
Endapo watajifunza kupitia makosa ya kiufundi wanayoyafanya wanaweza kupunguza hasara.Nawasubiri na bahati nzuri wananijua.
Nadhani hii thread haihusiani na name calling.Ni punguani peke yake ndiye anaweza kuamini kuwa Tanzania kuna mahakama au mifumo ya kutenda haki.
Sabaya anaburuzwa kwa maelekezo kutoka juu kisa alimtukana Chief Hangaya tusi la nguoni enzi za mwendakuzimu alipokuwa hai.Tusi hilo huwezi hata kuliandika hapa,lilikuwa ni tusi la nguoni kwelikweli.