Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Shida yako moja kijana unarudia yale yale ambayo ushajibiwa na ukakosa hoja. Sasa huu usulubu unatakiwa uubadilishe sababu unapotezea watu muda. Yaani kila siku unajibiwa jambo hilo hilo unajibiwa unakimbia unakuja tena kulirudia jambo hilo.
Usirudie tena ,
Nipo Kuweka sawa kila maali napokukuta unadanganya, Isa ni story ya kuokoteza haijulikani ata hilo jina maana yake nini
 
Uhuru wa Binadamu uko wapi sasa...!?
 
1. Koran haitaja mji , ila binadamu ndio wamekuja kumsaidia Allah na Kuweka mji, Koran ni kakitabu bila mikono ya pembeni hakaeleweki kabisa, Isa Kwa mujibu wa Koran yenyewe haijulikani kazaliwa wapi
Nani amekambia imetaja mji ? Qur'aan haijataja mambo mengi hata namna ya kusali pia haijataja. Nilikwambia Imamu Ibn Kathir amelithibitisha hilo, sasa nenda kasome alichokiandika Imam Ibn Kathir uone muujiza wa Elimu ya uhakiki wa habari, ambayo nyinyi hamna. Kule hajapiga stori bali ameweka ithibati.
 
Usirudie tena ,
Nipo Kuweka sawa kila maali napokukuta unadanganya, Isa ni story ya kuokoteza haijulikani ata hilo jina maana yake nini
Sasa unapinga kwamba sijakukosoa juu ya jambo la Issa au hatujalijadili humu ? Mwisho ulikaa au ulikimbia ?

Aisee kusimama na mimi huwezi sababu mimi nasoma wewe unao koteza.

Sasa jambo moja tukilizungumzia zaidi ya mara mona na ukakosa hoja ukilileta tena unatupotezea muda.

Uzuri jambo hili naweza kusimamisha hoja muda wowote.
 
Sasa Koran haijataja alafu kathir anataja , nimekwambia koran ni kitabu kisicho jitosheleza , Alie muandikia hiyo sura ya Imran ni mristo tena alisema Muhammad hajui chochote nachomuandikia
 
Tunaona kwenye koran inamtaja Issa, Babu yake ni Imran na Uncle zake ni Haruni na Mussa
3;35.
Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
Aya iko wazi, onyesha wapi imesema na kumtaja musa ?

Haroun imekuja kauli mbili, undugu wa Haroun kwa Maryam si wa kinasaba bali wa kiimani, na kauli nyingine inasema Maryam alikuwa na ndugu aliye itwa Haroun.

Sasa nataka uniambie hapo nabii Musa ameingiaje ?

Kingine nilikujengea hoja, ya kuwa kwani majina hayawezi kufanana ? Haoa ulikimbia. Mathalani Mtume Muhammad alikuwa ana mtoto anaitwa Ibrahiim, utasema nabii Ibrahiim baba yake mtume ?
 
Sasa Koran haijataja alafu kathir anataja , nimekwambia koran ni kitabu kisicho jitosheleza , Alie muandikia hiyo sura ya Imran ni mristo tena alisema Muhammad hajui chochote nachomuandikia
Qur'aan ni kitabu cha muongozo siyo kitabu cha Sayansi wala historia kinatoa muongozo na maelekezo. Ndiyo maana hukuti kwenye Qur'aan ikielezea namna ya kusali bali imetoa muongozo yaani msingi ila sisi tuna sali.
 
Kwa utofauti huo Isa sio Yesu wa kwenye Biblia ,
Isa ni character iliyotengwnezwa na Muhammad, hilo tumemaliza
 
Qur'aan ni kitabu cha muongozo siyo kitabu cha Sayansi wala historia kinatoa muongozo na maelekezo. Ndiyo maana hukuti kwenye Qur'aan ikielezea namna ya kusali bali imetoa muongozo yaani msingi ila sisi tuna sali.
Koran in lack of information , sio kitabu ambacho linaweza kukupa info ya kutosha , kinatajataja majina bila maelezo, na kimetengezwa kwa mithili ya kurap ,
 
Pole Ila Kama umempenda mtindue na zygote hatatoa mimba ni dhambi. Mimi ilinitokea 2005 nikagombana nao hivyo hivyo mzee wangu akafunga safari Hadi kwao akiwa na wapambe wake Sasa baba mkwe akakomaa kuwa Mimi x ndiye niliyempenda mwanae mzee wangu na wapambe wake wakiwa na morali kichwani wakamwambia mkwe na jopo lake kuwa " y" ndiye kanipenda mimi mjadala ukafungwa Sasa nikampa ujembe "y" kuwa inatakiwa aondoke kwangu soon Analia Sasa akasema haondoki maana dozi Nene na others anapata Basi tukapotezea lastly mzee akaanza nibembeleza kuwa nifunge ndoa ya kikristo na mwanae akiwa mpole, just a matter of time will tell
 
CHAI, CHAI, CHAI, CHAI.
Jamani, Jamani, Jamani, hakuna shughuli pevu kama waislam kubadilisha DINI.
Yaan hapa tutaleta sana hizi Chai ila kwa ground Waislam ni ngumu mno kubadili dini, na mara zote ukibadili dini unatengwa mazima.
REF. KHADIJA NITO yule msanii alibadili dini kutoka UISLAM kwenda Ukristo na akaolewa. Hajamuona mama yake miaka tele.
 
Kwa utofauti huo Isa sio Yesu wa kwenye Biblia ,
Isa ni character iliyotengwnezwa na Muhammad, hilo tumemaliza
Nimecheka sana, ndiyo maana huwa nakwambia huna hoja na ushakimbia kwa namna hii.
 
Koran in lack of information , sio kitabu ambacho linaweza kukupa info ya kutosha , kinatajataja majina bila maelezo, na kimetengezwa kwa mithili ya kurap ,
Ndiyo maana mtume akawa anawapa maelezo maswahaba yake na tunayakuta maelezo hayo katika Hadithi za mtume.

Kinge Qur'aan inajifasiri yenyewe na inafasiriwa na hadithi. Mfano wa Tafsiri za Qur'aan kwa Qur'aan soma kitabu cha Imamu Muhammad Mukhtari ash-Nqiitiy al Jakaniy kiitwacho "Adh-wau al bayan fii idhwaha Qur'aan bil Qur'aan.
 
Yani unapigilia msumari kwamba Koran haijitoshelezi , tafsir zenyewe zinapingana Kuna kila aina ya tafsir ,

Hadith ndio kabisa Kuna waislamu wamezikataa kabisa tena zote , madai Yao zimeandikwa miaka zaidi ya mia 200 baada ya Muhammad kufa, na wengi wanasema nyingi zinamzalilisha Muhammad kama zile za kusema Muhammad kaoa katoto, Muhammad alichamba kwa kutumia mawe, Muhammad alikuwa anaiga wayahudi na nyingine nyingi
 
Bifu lililopo ni la kiroho zaidi. Hizi ni falme mbili tofauti. Yehova siyo Allah na Yesu siyo nabii Issa kama mnavyoaminishwaga.

Nimechoka sana leo ningekufafanulieni kwa kina
Hebu lete shule mzee baba
 
Hakuna dini iliyo kamilifu kama utaanza kuichunguza kwa kutafuta mapungufu yake,, uislam una mashimo mengi tu mr kisai kama wewe unavyotafutiza mapungufu kwenye ukristo.

Wakristo wao hufundisha upendo, habari za maajabu ya Yesu pamoja na tumaini la ufufuo. Hizi ndizo huwavuta watu kujiunga kwenye hii imani, hawahaingaiki na kutafuta holes kwenye uislam.

Utofauti mwingine ni kwamba ukristo ni imani ambayo ime base kwenye ukuaji wa kiroho wakati Uislam una deal na mambo ya mwili zaidi. Hata Paradiso/pepo ya wakristo na waislam hazifanani chief.

Tunza na endelea na imani yako bila kuipaka matope imani nyingine kwa sababu matumaini, matarajio na mwisho wake ni tofauti kabisa.
 
mafunzo mazuri ya dini siku zote huanzia utotoni, hapo ndipo mtoto anapopata good narration to see the right and wrong.
Usiseme good narration ya kutambua good au wrong. Seema hapo ndipo upotoshaji unapoanzia sababu hiyo narration ni biased kwa kisingizio cha dini ni imani ambayo haitakiwi kuhojiwa kwa akili za kawaida wakati binadamu tuna akili za kawaida.
 
Umeandika uongo mtupu kuhusu Uislamu. Nitakuonyesha baadae,ila mimi naanza na hili, nakupa kazi ya kuonyesha pungufu hata moja katika uislamu ukiweza kufanya hivyo mimi nitaomba hii ID ifungwe na wewe utakuwa shahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…