š¤£š¤£š¤£š¤£ Hapo sijui kama atarudia tenaKama umechukia sana kalia hikišš¾
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
š¤£š¤£š¤£š¤£ Hapo sijui kama atarudia tenaKama umechukia sana kalia hikišš¾
Usirudie tena ,Shida yako moja kijana unarudia yale yale ambayo ushajibiwa na ukakosa hoja. Sasa huu usulubu unatakiwa uubadilishe sababu unapotezea watu muda. Yaani kila siku unajibiwa jambo hilo hilo unajibiwa unakimbia unakuja tena kulirudia jambo hilo.
Nani amekambia imetaja mji ? Qur'aan haijataja mambo mengi hata namna ya kusali pia haijataja. Nilikwambia Imamu Ibn Kathir amelithibitisha hilo, sasa nenda kasome alichokiandika Imam Ibn Kathir uone muujiza wa Elimu ya uhakiki wa habari, ambayo nyinyi hamna. Kule hajapiga stori bali ameweka ithibati.1. Koran haitaja mji , ila binadamu ndio wamekuja kumsaidia Allah na Kuweka mji, Koran ni kakitabu bila mikono ya pembeni hakaeleweki kabisa, Isa Kwa mujibu wa Koran yenyewe haijulikani kazaliwa wapi
Sasa unapinga kwamba sijakukosoa juu ya jambo la Issa au hatujalijadili humu ? Mwisho ulikaa au ulikimbia ?Usirudie tena ,
Nipo Kuweka sawa kila maali napokukuta unadanganya, Isa ni story ya kuokoteza haijulikani ata hilo jina maana yake nini
Sasa Koran haijataja alafu kathir anataja , nimekwambia koran ni kitabu kisicho jitosheleza , Alie muandikia hiyo sura ya Imran ni mristo tena alisema Muhammad hajui chochote nachomuandikiaNani amekambia imetaja mji ? Qur'aan haijataja mambo mengi hata namna ya kusali pia haijataja. Nilikwambia Imamu Ibn Kathir amelithibitisha hilo, sasa nenda kasome alichokiandika Imam Ibn Kathir uone muujiza wa Elimu ya uhakiki wa habari, ambayo nyinyi hamna. Kule hajapiga stori bali ameweka ithibati.
Aya iko wazi, onyesha wapi imesema na kumtaja musa ?Tunaona kwenye koran inamtaja Issa, Babu yake ni Imran na Uncle zake ni Haruni na Mussa
3;35. Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
Qur'aan ni kitabu cha muongozo siyo kitabu cha Sayansi wala historia kinatoa muongozo na maelekezo. Ndiyo maana hukuti kwenye Qur'aan ikielezea namna ya kusali bali imetoa muongozo yaani msingi ila sisi tuna sali.Sasa Koran haijataja alafu kathir anataja , nimekwambia koran ni kitabu kisicho jitosheleza , Alie muandikia hiyo sura ya Imran ni mristo tena alisema Muhammad hajui chochote nachomuandikia
Kwa utofauti huo Isa sio Yesu wa kwenye Biblia ,Aya iko wazi, onyesha wapi imesema na kumtaja musa ?
Haroun imekuja kauli mbili, undugu wa Haroun kwa Maryam si wa kinasaba bali wa kiimani, na kauli nyingine inasema Maryam alikuwa na ndugu aliye itwa Haroun.
Sasa nataka uniambie hapo nabii Musa ameingiaje ?
Kingine nilikujengea hoja, ya kuwa kwani majina hayawezi kufanana ? Haoa ulikimbia. Mathalani Mtume Muhammad alikuwa ana mtoto anaitwa Ibrahiim, utasema nabii Ibrahiim baba yake mtume ?
Koran in lack of information , sio kitabu ambacho linaweza kukupa info ya kutosha , kinatajataja majina bila maelezo, na kimetengezwa kwa mithili ya kurap ,Qur'aan ni kitabu cha muongozo siyo kitabu cha Sayansi wala historia kinatoa muongozo na maelekezo. Ndiyo maana hukuti kwenye Qur'aan ikielezea namna ya kusali bali imetoa muongozo yaani msingi ila sisi tuna sali.
CHAI, CHAI, CHAI, CHAI.Pole Ila Kama umempenda mtindue na zygote hatatoa mimba ni dhambi. Mimi ilinitokea 2005 nikagombana nao hivyo hivyo mzee wangu akafunga safari Hadi kwao akiwa na wapambe wake Sasa baba mkwe akakomaa kuwa Mimi x ndiye niliyempenda mwanae mzee wangu na wapambe wake wakiwa na morali kichwani wakamwambia mkwe na jopo lake kuwa " y" ndiye kanipenda mimi mjadala ukafungwa Sasa nikampa ujembe "y" kuwa inatakiwa aondoke kwangu soon Analia Sasa akasema haondoki maana dozi Nene na others anapata Basi tukapotezea lastly mzee akaanza nibembeleza kuwa nifunge ndoa ya kikristo na mwanae akiwa mpole, just a matter of time will tell
Nimecheka sana, ndiyo maana huwa nakwambia huna hoja na ushakimbia kwa namna hii.Kwa utofauti huo Isa sio Yesu wa kwenye Biblia ,
Isa ni character iliyotengwnezwa na Muhammad, hilo tumemaliza
Ndiyo maana mtume akawa anawapa maelezo maswahaba yake na tunayakuta maelezo hayo katika Hadithi za mtume.Koran in lack of information , sio kitabu ambacho linaweza kukupa info ya kutosha , kinatajataja majina bila maelezo, na kimetengezwa kwa mithili ya kurap ,
Inaweza ikawa God hii ya small "g"Hapo ungesema Allah sio Mungu ningekuona hamnazo. Ila kusema Jehova sio Allah haujakosea. Allah kwenda kingereza "The God".
Yani unapigilia msumari kwamba Koran haijitoshelezi , tafsir zenyewe zinapingana Kuna kila aina ya tafsir ,Ndiyo maana mtume akawa anawapa maelezo maswahaba yake na tunayakuta maelezo hayo katika Hadithi za mtume.
Kinge Qur'aan inajifasiri yenyewe na inafasiriwa na hadithi. Mfano wa Tafsiri za Qur'aan kwa Qur'aan soma kitabu cha Imamu Muhammad Mukhtari ash-Nqiitiy al Jakaniy kiitwacho "Adh-wau al bayan fii idhwaha Qur'aan bil Qur'aan.
Hebu lete shule mzee babaBifu lililopo ni la kiroho zaidi. Hizi ni falme mbili tofauti. Yehova siyo Allah na Yesu siyo nabii Issa kama mnavyoaminishwaga.
Nimechoka sana leo ningekufafanulieni kwa kina
Hakuna dini iliyo kamilifu kama utaanza kuichunguza kwa kutafuta mapungufu yake,, uislam una mashimo mengi tu mr kisai kama wewe unavyotafutiza mapungufu kwenye ukristo.Ndiyo maana mtume akawa anawapa maelezo maswahaba yake na tunayakuta maelezo hayo katika Hadithi za mtume.
Kinge Qur'aan inajifasiri yenyewe na inafasiriwa na hadithi. Mfano wa Tafsiri za Qur'aan kwa Qur'aan soma kitabu cha Imamu Muhammad Mukhtari ash-Nqiitiy al Jakaniy kiitwacho "Adh-wau al bayan fii idhwaha Qur'aan bil Qur'aan.
Usiseme good narration ya kutambua good au wrong. Seema hapo ndipo upotoshaji unapoanzia sababu hiyo narration ni biased kwa kisingizio cha dini ni imani ambayo haitakiwi kuhojiwa kwa akili za kawaida wakati binadamu tuna akili za kawaida.mafunzo mazuri ya dini siku zote huanzia utotoni, hapo ndipo mtoto anapopata good narration to see the right and wrong.
Umeandika uongo mtupu kuhusu Uislamu. Nitakuonyesha baadae,ila mimi naanza na hili, nakupa kazi ya kuonyesha pungufu hata moja katika uislamu ukiweza kufanya hivyo mimi nitaomba hii ID ifungwe na wewe utakuwa shahidi.Hakuna dini iliyo kamilifu kama utaanza kuichunguza kwa kutafuta mapungufu yake,, uislam una mashimo mengi tu mr kisai kama wewe unavyotafutiza mapungufu kwenye ukristo.
Wakristo wao hufundisha upendo, habari za maajabu ya Yesu pamoja na tumaini la ufufuo. Hizi ndizo huwavuta watu kujiunga kwenye hii imani, hawahaingaiki na kutafuta holes kwenye uislam.
Utofauti mwingine ni kwamba ukristo ni imani ambayo ime base kwenye ukuaji wa kiroho wakati Uislam una deal na mambo ya mwili zaidi. Hata Paradiso/pepo ya wakristo na waislam hazifanani chief.
Tunza na endelea na imani yako bila kuipaka matope imani nyingine kwa sababu matumaini, matarajio na mwisho wake ni tofauti kabisa.