Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Pia kati ya vitabu hivi viwili Biblia na Quran kimoja ni copy and pest ya kingine na vinatofautishwa na lugha iliyotumika ndani yake na wahusika wa nyongeza.
 
Mimi nimejaribu kusoma uislamu kidogo gugo, kuna tofauti ndogo sana kati ya dini hizi mbili, ni Yesu kuwa mwana wa Mungu na nabij Issa na Mtume Mohamed sijui alitokea wapi, kwenye ukristo hayupo.
YUPO KWENYE BIBLIA. ANAITWA BARNABA
 
Nimekufatilia tangu mwanzo wa uzi mpaka hapa, nimecheka sana๐Ÿ˜„.

Sijui huu upumbavu wa dini utawatoka lini tu, ni lini wewe ulikufa ukajua kwamba huko kuna maisha? Ukileta story za Quran au bible nitakuuliza, kwanini hakuna muafrika aliyehusika kwenye hiyo kitabu zaidi ya waarabu tu na wazungu?

Kuna kujadili maandiko ila wewe ni aina ya wale watu wenye kujiona wapo sahihi katika kila kitu, unahubiri chuki kiasi kwamba hakuna anaewezatamani hata kuamini unachoamini ikiwa matokeo yake ni kuwa na roho katili kiasi hicho.
 
Uislam ni dini ya mwisho , Sasa ilikuwaje ikawa kabla ya uyahudi na ukristo? Hujui kuwa hujui. Ibrahim alikuwa myahudi na mitume wote kumtoa Mohamed walikuwa wayahudi by default.
Mpaka unakufa huwezi kuthibitisha ya kuwa mtume au yoyote alikuwa Yahudi. Inaonekana huujui Uyahudi.

Mayahudi walimkana Yesu na wakapotosha mafundisho ya Yesu. Wakristo walimkana mtume Muhammad wakapotosha mafundisho ya nabii Issa.

Hakuna nabii ambaye alikuwa Yahudi, sababu Uyahudi ni upotevu. Mitume na manabii wote walikuwa Waislamu kama nilivyo thibitisha huko juu. Nabii Ibrahim alikuwa muislamu.

Msichokielewa nyinyi ni kuwa mtume Muhammad amekuja na uislamu ambao sheria zake zinatofautiana na sheria za mitume waliopita, kama ilivyo sheria ya nabii Musa ilivyo tofautiana na sheria na ya nabii Issa, ila wote walikuwa na dini mona na itikadi moja na wote adui yao alikuwa mmoja.

Ukisoma Historia ya Uyahudi kuanza kwake kuna mapokezi yanasema ulianza kipindi cha nabii Suleyman na haukuwepo kipindi cha nabii Musa, wengine wanasema ulianza kipindi cha nabii Musa na wengine wanasema haijulikani, ila kabla ya nabii Musa hapakuwa na Uyahudi. Sasa unaposema nabii Ibrahiim alikuwa Myahudi, unaonekana umesikia tu hizi habari wala hujasoma.
 
Mimi ilitokea tu demu mlokole akataka kunihamishia kwao mm Protestant tukaamua kuachana mana si vyema mwanaume ukubali kuburuzwa
Katika hili, sababu za nyinyi kuachana sio dini kwakua haukufanya maamzi kutoka na imani uliyojifunza, bali ni ubeberu(kutokubali kuburuzwa na mwanamke)

NB:Sikupingi, kwakua hata mimi huwa sipendi kuburuzwa na mwanamke.
 
Uislam ni dini ya mwisho , Sasa ilikuwaje ikawa kabla ya uyahudi na ukristo? Hujui kuwa hujui. Ibrahim alikuwa myahudi na mitume wote kumtoa Mohamed walikuwa wayahudi by default.

UNABISHANA NA MTU MWENYE ROHO NGUMU ANA UWEZO WA KUBEBA BOMU AKAJIRIPUA

WATU KAMA HAWA NI WA KUKUTANA NA YESU USO KWA USO HUYU NI MFANO MZURI WA SAUL

NA KABLA YA KUMALIZA MWENDO DUNIANI WEWE LAZIMA UMKIRI YESU KWA KINYWA CHAKO YA KWAMBA ALIKUFA MSALABANI KWAAJILI YA KIBURI CHAKO NA KWA KUPIGWA KWAKE DUNIA NZIMA IMEPONA

AMEN
 
Ukiwa na hoja ya kujadiliana na mimi au kukosoa kielimu nilicho kiandika nijulishe ila sijadiliani na wajinga walio pea.

Kwani ujumbe ulio kuja toka kwa hao unao dai Waarabu uliwahusu Waarabu pekee, hakuna nabii aliyekuwa mzungu kijana.

Kingine naomba unipe sababu tano ambazo zinaonyesha ulazima wa uwepo nabii Muafrika ?

Mitume na manabii walikuwa wanapelekwa sehemu kwa sababu maalumu, nabii Musa alipelekwa kwenye jamii ambazo zilioza katika madhambi, kadhalika nabii Issa kadhalika nabii Muhammad alipelekwa kwa watu ambao maovu yao yalikuwa makubwa, sasa usifikiri unabii unapelekwa tu kiholela holela na kuna sababu nyingi hii nimekupa moja katika sababu nyingi.

Wasome Wana wa Israeli walivyokuwa waovu uovu ambao ulikuwa haupatikani sehemu yoyote,sasa sababu mnaendekeza urangi mtaendelea kuwa wajinga mpaka mnakufa.

Shida yenu nyinyi mnaleta uafrika bila kuangalia haja ya jambo husika, sasa elimu haiko hivyo, na mnayachukulia mambo juu juu. Wajinga sana nyinyi.
 
UNABISHANA NA MTU MWENYE ROHO NGUMU ANA UWEZO WA KUBEBA BOMU AKAJIRIPUA
Huu ndiyo ujinga ambao Wakristo mnao, yaani mnaposhindwa hoja mnaanza kuwazulia watu uongo na kuwatuhumu kwa mambo ambayo hawana. Sasa najiuliza kama hivi ndivyo mlivyo kwanini msiwe wajinga juu ya dini yenu ?!

Yaani humu mtu ukiandika ukweli unaambiwa gaidi ukiwakosoa watu unaambiwa una roho ngumu, sasa hapa nikikwambia uonyeshe hayo uliyo yasema sijui utaonyesha nini ?

Sifa ya uadilifu Wakristo hamkupewa nyinyi.
WATU KAMA HAWA NI WA KUKUTANA NA YESU USO KWA
Mimi sina haja ya kukutana na Yesu sababu nina muamini kama ni nabii na mtume wa Allah, hakuna cha zaidi ya hapo, hayo ya kusema ni mungu au mwana wa mungu hayo mnamzushia nyinyi na yeye hakuuachs ukristo. Wafuasi wa Yesu walio muamini na kumfata nao walikuwa Waislamu na watalipwa pepo ila siyo nyinyi mliokengeuka.
NA KABLA YA KUMALIZA MWENDO DUNIANI WEWE LAZIMA UMKIRI YESU KWA KINYWA CHAKO YA KWAMBA ALIKUFA MSALABANI KWAAJILI YA KIBURI CHAKO NA KWA KUPIGWA KWAKE DUNIA NZIMA IMEPONA

AMEN
Hili halipo sababu mimi niko zaidi ya ninachokiandika hapa.

Naapa kwa Mola, laiti kama Wakristo mngekuwa mansoma na kuhoji maandiko yetu, pasingesalia Mkristo hata mmoja zaidi ya hao viongozi wenu wanao faidika kupitia nyinyi.
 
Hawasomagi ili waelewe ila wanakaririshwa na kulazimishwa kuamini kwa mabavu na vitisho
 
Hawasomagi ili waelewe ila wanakaririshwa na kulazimishwa kuamini kwa mabavu na vitisho
Wadau huu Uzi unanihusu 100%.nipo kwenye mahusiano na mwanamke alikua muislam Imani Kali(suni) ila Kwa sasa amebadili dini kuwa mkristo.tena kawa mkristo kwelkwel ,kila out anataka tule mdudu(kitmoto).Ila itoshe kusema watu kubadili dini sio Jambo dogo, huwa ananiambia madhila wanayopitia waislam na mengine mengi,Anashukuru Mungu kumfunulia ukweli na ana Amani Yuko mahali sahihi,hakubadili dini kisa Mimi mkristo ,alipata ufunuo ye mwenyewe,ikabid atafte kanisa ,huko kanisani akakutana na mchungaj naye alikua muislam na mume wake...mwanamke wazaz na ndugu zake wote waislam."'
 
Naona unauliza swali la uongo. Labda unisaidie wewe nani ameandika Qur'aan ?
Mutah boy Ni wengi walimsaidia kuandika, ila wakristo ndio asilimia kubwa wameandika Koran na kumuingiza chaka Muhammad
 
Son of Mutah, nilisha kwambia Mungu Jehovah ni spirit na mungu Allah ni physical being usichanganye unapo uliza swali

Mungu hafi , human flesh inakufa

Kwa logic ya mungu Allah ukileta kwa Yesu haiwezekani maana yeye Allah ni object inayoonekana ina mguu mmoja , jicho ,mikono miwili upande mmoja na penis
 
Mutah boy una majini tena yenye nguvu sana , najua jina Yesu huwa mna lisema humu tu ila mnajua wazi Koran hakuna jina Yesu

Koran ni kakitabu hakana faida yoyote , ka kitabu ambacho ukileta kwenye biblia kanaishia pale panaposema yaliyomo, mashahiri yasiyo eleweka na kikubwa ni kitabu majini yameandikwa surah nzima ,

Nilipo Cheka unakuta Allah anaongea Aya tatu kashamaliza surah ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mimi nakupa kazi moja tu ukithibitisha ya kuwa Yesu siyo Nabii Issa mimi nakuwa Mkristo.
Tillikua na jukwaani la dini nondo zilishushwa kibao kule wamelifuta

Hata hapa tukiamza shusha nondo uzi utafungwa na wengine kula ban

So kama unataka nenda katafute uone mwenyewe ya kwamba hao watu wawili tofauti

Akili unazo,nguvu unazo na uwezo unao usituchoshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ