Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Yesu ni nani mpka akiriwe ? Ni Mungu Muumba mbingu na ardhi au ?
 
Inauma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyote mmelostika kufuata dini za watu zisizo na mashiko kwetu Waafrika. Waafrika tulikuwa hatubaguani kabla ya kuja upuuzi wa hizi dini za watu wa mashariki ya kati, tumekuwa wajinga kupindukia na hatutaki kusoma historia kujuwa ukweli wa hizi dini. Tunasikitisha mno kwa ujinga tulionao.
 
allah is dead already. I always tell them.allah is dead.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Dini ya kuletewa unamtenga mwanao wa kumzaa huo ndio uchizi dini mnasema upendo na amani lakini matendo ni ya chuki na kibaguzi. Halafu Waafrika kutooana kisa dini ni ufala mtupu
 
Dini ya kuletewa unamtenga mwanao wa kumzaa huo ndio uchizi dini mnasema upendo na amani lakini matendo ni ya chuki na kibaguzi. Halafu Waafrika kutooana kisa dini ni ufala mtupu
Shida akili huna.

Mola wetu hapendi watu wajinga wenye kuendekeza hisia na upendo wa kijinga. Dini kwa ajili ya watu wote ndiyo maana ikawa sharti ili ufaulu na kufikia kilele cha kuumbwa kweko lakini upite njia hii na ndiyo DINI hiyo.
 
Hili hamna uwezo nalo nyote mpaka wakubwa zenu.
 
Naona huna hoja. Ukiwa na hoja nijulishe.

Nipo.
 
Sasa Yesu si mnasema ni Mungu ? Mbona alikuwa ana miguu, mikono, kichwa vile navyo ni roho ? Wakristo mazwazwa sana.

Yesu mnasema ni Mungu mbona alikufa na mnasema akafufuka ? Nani alimfufua mungu wenu aliye kufa ?

Halafu kwanini maandiko yenu yote yenye utata ndiyo mnaingiza maana za kuwa yanasema Yesu ni mungu ila maandiko yaliyo nyooka yanayo thibitisha kuwa siyo mungu mnayapuuza ? Akili zenu haziko sawa.
 
Mutah boy Ni wengi walimsaidia kuandika, ila wakristo ndio asilimia kubwa wameandika Koran na kumuingiza chaka Muhammad
Nitajie wanne tu Wakristo walioandika Qur'aan. Yaani kuna muda unaandika mambo ambayo hata tukikuomba ushahidi unajua huna.

Kingine, maswali ninayo wauliza mjitahidi kuyajibu yatawasaidia sana, shauri yenu.
 
Shida akili huna.

Mola wetu hapendi watu wajinga wenye kuendekeza hisia na upendo wa kijinga. Dini kwa ajili ya watu wote ndiyo maana ikawa sharti ili ufaulu na kufikia kilele cha kuumbwa kweko lakini upite njia hii na ndiyo DINI hiyo.
Mtu anazaliwa hajui chochote zaid ya kunyonya huyo Mola kafanyaje kwenye maisha ya mtu. Waafrika tuamke dini ni utapeli wa wakoloni
 
Yohana 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Mutah boy , hafs kawapa Koran unayosoma na hafs ni miaka zaidi ya 200 baada ya Muhammad kufa kwa sumu
Sasa si ndiyo uweke ushahidi kijana unashindwa wapi ? Shida yenu hamsomi yaani mmekaa kimbeya mbeya sana mkisikia jambo mnalichukua hamlifanyii utafiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…