Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Wala yeye wa pili kuzaliwa mimi wa mwisho kati ya watano 😬
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala yeye wa pili kuzaliwa mimi wa mwisho kati ya watano 😬
Ibrahimu hakuwa na dini.Hiyo siyo kweli hili jina wanalitumia kimakosa. Nabii Ibrahimu alikuwa Muislamu, Uyahudi na Ukristo ni Dini zilizo kuja kuzuliwa, ukiziangalia zote zimewakana mitume walio fata baadae.
Nashukuru sijawahi kumpenda mwanaume wa kiislamu,,, na sijui Kama itatokea
Hamuendani tu[emoji23],,,Wala yeye wa pili kuzaliwa mimi wa mwisho kati ya watano [emoji51]
Huyo ndiye Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema?وَمَن يُشَاقِقِ الرَّسُولَ مِن بَعْدِ مَا تَبَيَّنَ لَهُ الْهُدَىٰ وَيَتَّبِعْ غَيْرَ سَبِيلِ الْمُؤْمِنِينَ نُوَلِّهِ مَا تَوَلَّىٰ وَنُصْلِهِ جَهَنَّمَ ۖ وَسَاءَتْ مَصِيرًا
“Atakayempinga Mtume baada ya kumbainikia uongofu na akafuata njia isiyokuwa ya waumini, Tutamwacha aelekee huko alikoelekea na [baadaye] Tutamwingiza Motoni – na uovu ulioje mahali pa kuishia.” (04:115)
Allah atuongoze na atuhifadhi.
Alikuwa anapenda kunionea ila kuna siku nilimuigizia nimezimia natoa povu toka siku hiyo aliacha kunifatilia😬
damu ya mkristo ina kitimoto... na vibudu, nyamafuTupo kwenye boti moja chief, hata mimi nataka kuoa muislam kindaki ndaki tatizo dini yao hairuhusu kuolewa na mtu wa dini nyingine. Japo mwanaume wa kiislam anaruhusiwa kuoa mwanamke wa kikristo na kiyahudi.
Ulichokosea ni kutomtia mimba huyo mrembo,, ilitakiwa ucheze faulo tu kibabe basi upinzani ungekosa nguvu. Wangu is a doctor hata kufunga offside goal ya mimba ni ngumu.
Maajabu ni kwamba mtu akiongezewa damu hospitali haulizi kama hii ni ya mkristo au muislam. Hizi dini za kigeni zina tutenganisha kijamii badala ya kutuunganisha.
🪒Ni rahisi sana mwanaume wa kikristo kumpenda binti wa kiislam kuliko mwanaume wa kiislam kumpenda binti wa kikristo.
Pia hata ikitokea ya mwaume wa kiislam kumpenda binti wa kikrito. Dini ya kiislam inaruhusu mwanaume wa kiislam kuoa binti wa dini ya kikristo. Ila hairuhusu binti wa kiislam kuolewa na mwanaume wa kikristo ama dini nyingine tofaut na ya kiislam.
Wanawake wa kiislam wanavutia sana wanaume wa kikristo sababu ya usafi na mavazi yao ya heshima ya kujisitiri. Ndio maana wanapendwa sana na wanaume wa kikristo shida kuwaoa ndiyo dini ya kiislam inakataa binti yao asiolewe na dini ingine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Nawe unashindwa kujibalance hadi wanajua nyumbani??Alikuwa anapenda kunionea ila kuna siku nilimuigizia nimezimia natoa povu toka siku hiyo aliacha kunifatilia[emoji51]
hao mitume ndio mizimu... watu walio kufa, yani roho zilizo hacha miiliwewe unaamini MUNGU mmoja
kama unaamini MUNGU mmoja
basi ALLAH na YEHOVA ni huyo huyo
kama unaamini MUNGU wa IBRAHIM(ABRAHAM)
Basi na WAISLAM tunamuamini MUNGU huyo huyo
kama ibrahimu aliamini MUNGU mmoja na WAKRSTO wanamfuata IBRAHIM
na WAISLAM tunamfata IBRAHIM tunaamini MUNGU mmoja
Sisi waislam tunapingana na wanaoabudu masanamu wanaoabudu Viumbe wanaoabudu mizimu na wanaobudu MIUNGU
FALSAFA ya UISLAM ni KUAMINI MUNGU MMOJA na KUAMINI MITUME YAKE na KUAMINI MUHAMMAD ni MTUME WAKE
na hiyo NDIYO ilikuwa FALSAFA ya YESU na NDIO
YESU alihubiri MUNGU MMOJA na akafundisha neno kwa kuwaambia yeye ni MTUME WA MUNGU amekuja kuitangaza INJIRI y MUNGU
Mwanzo nilificha ila baadae mchumba kaja nyumbani anataka tufunge ndoa ya serikali hapo ndipo ikazuka balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Nawe unashindwa kujibalance hadi wanajua nyumbani??
Sent using Jamii Forums mobile app
😄😄😄😄 anasema waislam wameruhusiwa kuoa wakristo na mayahudi. Wanapotoshwa hawa jamaa duhHuna unacho kijua kuhusu Islam
AsantePole,,,,kaa tuliza akili tu,usiufosi moyo ukubali kuwa haupo nae
utakuwa sawa
Naelewa inakuwaje[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooooh unajuaga nini tunadanganyana kuwa tutafunga ya serikali[emoji23]. Bila kufikiriaMwanzo nilificha ila baadae mchumba kaja nyumbani anataka tufunge ndoa ya serikali hapo ndipo ikazuka balaa
Mwanaume anaweza kukwambia tufunge ndoa ya serikali shida mkibahatika kupata watoto hapo hapo ndipo anaanza ushawishi wake badili dini ili watoto wasipate tabu ya uchaguzi wa dini.Oooooh unajuaga nini tunadanganyana kuwa tutafunga ya serikali[emoji23]. Bila kufikiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishavuka hapo yaani hakuna kitakachokuumiza kwenye mahusiano.Asante
Ndo lililobaki hamna namna
Hii ni shida wallah,,Mwanaume anaweza kukwambia tufunge ndoa ya serikali shida mkibahatika kupata watoto hapo hapo ndipo anaanza ushawishi wake badili dini ili watoto wasipate tabu ya uchaguzi wa dini.
Hiv hiko kipindi mpo kwenye mahusiano na huyo Jamaa ilikuwa ni kipindi mpo shule?
🤣🤣🤣🤣🤣 kwa wanawake kumpenda mwanaume wa kislamu inatokea Mara chache lakini case ya Wanaume kupenda wanawake wa kislamu ni Mara nyingi sana inatokea na hii ni kwasababu wanawake wakislamu wanajua mahaba sana na wanajua kumtreat vizuri mwanaume na hiki kinavutia sana WanaumeNashukuru sijawahi kumpenda mwanaume wa kiislamu,,, na sijui Kama itatokea