Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Hiyo siyo kweli hili jina wanalitumia kimakosa. Nabii Ibrahimu alikuwa Muislamu, Uyahudi na Ukristo ni Dini zilizo kuja kuzuliwa, ukiziangalia zote zimewakana mitume walio fata baadae.
Ibrahimu hakuwa na dini.

Alimwamini Mungu tu.

Dini zilikuja baadae sana.

Kwani uislamu si umeletwa na Muhammed? Sasa Ibrahim alikuja kuishi baadae?
 
Nashukuru sijawahi kumpenda mwanaume wa kiislamu,,, na sijui Kama itatokea

Ni rahisi sana mwanaume wa kikristo kumpenda binti wa kiislam kuliko mwanaume wa kiislam kumpenda binti wa kikristo.

Pia hata ikitokea ya mwaume wa kiislam kumpenda binti wa kikrito. Dini ya kiislam inaruhusu mwanaume wa kiislam kuoa binti wa dini ya kikristo. Ila hairuhusu binti wa kiislam kuolewa na mwanaume wa kikristo ama dini nyingine tofaut na ya kiislam.

Wanawake wa kiislam wanavutia sana wanaume wa kikristo sababu ya usafi na mavazi yao ya heshima ya kujisitiri. Ndio maana wanapendwa sana na wanaume wa kikristo shida kuwaoa ndiyo dini ya kiislam inakataa binti yao asiolewe na dini ingine
 
Huyo ndiye Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema?
 
damu ya mkristo ina kitimoto... na vibudu, nyamafu
 
πŸͺ’

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao mitume ndio mizimu... watu walio kufa, yani roho zilizo hacha miili
 
Oooooh unajuaga nini tunadanganyana kuwa tutafunga ya serikali[emoji23]. Bila kufikiria

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume anaweza kukwambia tufunge ndoa ya serikali shida mkibahatika kupata watoto hapo hapo ndipo anaanza ushawishi wake badili dini ili watoto wasipate tabu ya uchaguzi wa dini.
 
Nashukuru sijawahi kumpenda mwanaume wa kiislamu,,, na sijui Kama itatokea
🀣🀣🀣🀣🀣 kwa wanawake kumpenda mwanaume wa kislamu inatokea Mara chache lakini case ya Wanaume kupenda wanawake wa kislamu ni Mara nyingi sana inatokea na hii ni kwasababu wanawake wakislamu wanajua mahaba sana na wanajua kumtreat vizuri mwanaume na hiki kinavutia sana Wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…