Nilitaka kupigwa Kalynda ila nikastukia

Nilitaka kupigwa Kalynda ila nikastukia

Nikikumbukaga ya D9 hata uniletee fursa ya online nakuangalia tuu[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Kabisa.
Nimeona video ya mahojiano ya dogo fulani eti anasoma udaktari Kampala universitu anadai kapigwa kama mls 5 na anadaiwa na maprofesa wake watatu nao aliwashawishu wakajiunga na wanafunzi kibao. Anadai kuna hadi wanasiasa na viongozi wa serikali wakubwa walikuwa wanakutana pale.
Anasema sasa hivi anaishi kama digidigi kwakuwa ameingiza wanafunzi wengi na alikuwa kila akiwafanyoa seminar pale chuoni kalynda wanamrushia tshs200000
Wasomi wetu ni wakukariri hawataki kutumia akili kufikiri
 
ingawa stori yako umetunga tu kifupi ni chai,ila watanzania tujifunze
 
Kuna wengine ukimuuunga mtu unahama level sijui level one sijui level two...na aliyekuwa ana nishawishi ni daktari kabisa kwamba hiyo kampuni inasambaza vifaa Tiba Tanzania.... Nkamwambia tu sawa kaka ukifanikiwa kutoa utaniambia ..siku anatoa wakamwambia asubiri masaa72 ...ndio ntoleee... Alifika milioni 8 .... aliashapigwa Mama na Mama mkwe kwenye kupanda mbegu DECI na walikuwa wastaaafu niliwaonea huruma sana.
Hiki ndio kilinikuta D9 , best wangu alinishinikiza sana, japo nilikuwa najua ni Scam sikuweka mapesa mengi ila nilipigwa.
Walipigwa watu hapa usipime, sirudii tena haya makitu.
 
Kabisa.
Nimeona video ya mahojiano ya dogo fulani eti anasoma udaktari Kampala universitu anadai kapigwa kama mls 5 na anadaiwa na maprofesa wake watatu nao aliwashawishu wakajiunga na wanafunzi kibao. Anadai kuna hadi wanasiasa na viongozi wa serikali wakubwa walikuwa wanakutana pale.
Anasema sasa hivi anaishi kama digidigi kwakuwa ameingiza wanafunzi wengi na alikuwa kila akiwafanyoa seminar pale chuoni kalynda wanamrushia tshs200000
Umenikumbusha yaliwah kunikuta kama haya,niliingia chuo ni kawa mtu pekee anaebet,wengi walikuwa hawajaanza kubet,mwanzo nilkuwa nabet kwa siri ila ikatokea dogo mmoja akanisanukia akaomba nimwelekeze na mpaka nikamfungulia na acc basi kadir siku zilivyoenda madogo wengine wakaibuka walijifunza kwa yule niliemfundisha mwanzo,maana baada ya yeye kujua alianza kuyafanya haya mambo ya betting kwa uwazi

Sasa ikawa siku za wkend asubuh tunakaa pamoja watu kama sita hv tunaanza kusuka mikeka,kuna siku dogo mmoja akapiga laki 7 sasa chuo kizima kikajua,na ikaonekana mwalimu wao ni mimi

Lecture mmoja akanifata ili nimtengenezee mikeka mitatu ya maana na akaweka stake kubwa kwenye kila mkeka,aisee kilichotokea nilitamani kukimbia chuo,huyu lecture alikuwaga na hela sana ila akawa hajui afanyie biashara gani
 
Back
Top Bottom