Nilitaka kupigwa Kalynda ila nikastukia

Nilitaka kupigwa Kalynda ila nikastukia

Umenikumbusha yaliwah kunikuta kama haya,niliingia chuo ni kawa mtu pekee anaebet,wengi walikuwa hawajaanza kubet,mwanzo nilkuwa nabet kwa siri ila ikatokea dogo mmoja akanisanukia akaomba nimwelekeze na mpaka nikamfungulia na acc basi kadir siku zilivyoenda madogo wengine wakaibuka walijifunza kwa yule niliemfundisha mwanzo,maana baada ya yeye kujua alianza kuyafanya haya mambo ya betting kwa uwazi

Sasa ikawa siku za wkend asubuh tunakaa pamoja watu kama sita hv tunaanza kusuka mikeka,kuna siku dogo mmoja akapiga laki 7 sasa chuo kizima kikajua,na ikaonekana mwalimu wao ni mimi

Lecture mmoja akanifata ili nimtengenezee mikeka mitatu ya maana na akaweka stake kubwa kwenye kila mkeka,aisee kilichotokea nilitamani kukimbia chuo,huyu lecture alikuwaga na hela sana ila akawa hajui afanyie biashara gani
Yote ilibuma? 😄😄😄 Ukiweka ela nyng kwenye mkeka hiyo ndio siku unapigwa
 
Hao apo waungwana wetu.
Screenshot_20221011-230012_Instagram.jpg
 
Hii ishu niliisikia kwa aunt,toka mwezi wa 6 hivi, nikajiunga vinzuri ila ishu ilikuja pale nilipotaka kuweka pesa, kila nikisema ngoja nikaweke pesa nakuwa bize napotezea.

Nikaipotezea kama miezi 2, mwezi wa 8 aunt akanionyesha ela zake kwenye account duuh account imeshiba kinoma inakama million 6 hivi, akaniambia haitoi mpaka pale itakapofikia million 10, nikamwambia itoe akagoma katukatu.

Akanihamasisha niweke pesa kwenye account, MUNGU sio asumani, kweli nimeenda kwa wakala kuweka pesa, nilipofika tu nimetoa laki 2 mama kanipigia simu ana shida ya laki na sabini daah nikaona bora nimtumie mama, nikajisemea kalynda ipo tu nitaweka siku nyingine.

Juzi kati nasikia watu walitaka kuhack, kumbe ni mbinu viongozi wa kalynda walitumia kuwadanganya watu,leo hii aunt presha juu haamini kilichotokea.

Namshukuru MUNGU kwa kunipa moyo wa uvumilivu, huwa sipendi kukurupukia jambo linapozuka huwa natuliaga pembeni kusoma mchezo, hata nikichelewa vipi najuwa kama jambo ni jema nitalikuta wakati mwingine, hata kipindi social network zilipokuja nilitumia miaka mingi kujiingiza.

Sisi watanzania ni mabunyenye, tunapenda kitonga sana, vitu vya bure bure ndo tunavyovihitaji, hakuna kitu cha bure kwenye hii dunia, kila kitu kinapokuja kinakuwa na lengo la kukupiga tu.

Ndo maana sasa hivi mtaani makamari ya kichina yamejaa kuliko kanisa na msikiti, ukisikiliza kila redio chota mihela, mara betting, hao wanaoleta hivyo vitu wanajua watanzania ni maboya, hawapendi kuchunguza jambo kazi kupaparikia.

Tanzania utamkuta baba anabet, mama anacheza Chota mihela, watoto wanabet, hivi kwa dizaini kama hii taifa litaendeleaje?

Serikali ilikuwa wapi kipindi chote hicho, au serikali nao wanahusika? Kama wao ndo wanatoa vibali basi pia wanashiriki kutuibia.

Siku inzi ata acha kula mavi,ndo siku atatengeneza asali, nyuki ni mdudu ameamua kuwa bize na maisha yake, ndo maana anachokifanya kinaonekana kutuletea asali. Basi kwanini tusiige kwa nyuki?

ONE TIME,
ONE FOR THE ROAD.
APPROXIMATELY ONCE AGAIN.....
Kuna jamaa alisema serikali ya Tanzania ukilipa kodi unaweza hata ikawa unaua raia wake wala serikali haijali wao wanaangalia kwenye mfumo kodi inaingia tu wanakenua
 
Kweli mkuu
 
Yaani hapa mimi naona kama hekima yako imeyumba tu kidogo. Ingependeza zaidi kama ungeamua kukakaa kimya tu kuliko kuja na taarifa kama hizi kwa jambo la aibu kama hili. Kuna uwezekano wapo wengi tu walionusurika kama wewe na wameamua kukaa kimya kwa sababu ni aibu kubwa mno kwa mtu mwenye akili timamu hata kule kuonekana tu kuwa alikuwa anafikiria kucheza ujinga huu!
 
Huu ni ushuhuda kama wanavyotoa makanisani,kwaiyo nadhani umepigwaaa mkuu pole
 
Et mlitoka nje ya Tanzania uko ulaya na china haya mambo yapo????
 
Back
Top Bottom