Nilitarajia CHADEMA wangetumia msiba wa Lowasa kuiomba msamaha familia yake

Waliotakiwa kumuomba msamaha ni wanaCCM ..... JK, Nape, Mwakyembe, Kinana, Rizwan, Msukuma ..... list ni ndefu sana.
List ni ndefu kweli. Angalia post namba #20 kuna video ya muhusika mkuu aliemchafua Lowasa na kumdhalilisha kwa kadri alivyojisikia.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu

Kwanza natoa pole kwa familia ya mzee wetu hayati Edward Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, natoa pole pia kwa watanzania wenzangu kwa kuondokewa na aliewahi kuwa waziri mkuu wetu hayati Edward Lowasa.

Ki ukweli huu msiba umewashtua wengi wakiwemo ndugu zake, marafiki zake na hata maadui zake. Hivyo haishangazi kuona kila mtu anauzungumzia msiba huu.

Lakini pamoja na yote kuna hili jambo la mtu ambae aliwahi kuonesha chuki za wazi kwa hayati Edward Lowasa enzi za uhai wake, eti leo anajifanya ni mwema wake na rafiki yake ambae ameguswa mno na kifo chake 😳😳.

Hivi umeshawahi kuona wapi mtu ambae anakuombea mabaya, siku ukiyapata hayo mabaya eti anakuja tena kusikitika. Huu kama sio unafiki ni nini!!

Sawa inafahamika vizuri kwamba nguzo kuu za siasa ni (1) uongo (2) unafiki (3) na uzushi. Lakini inapotokea pale uliemzushia jambo amefariki, huku ukiwa unajua kuwa ulichomzushia hakina ukweli wowote, basi ni vizuri kuiomba msamaha familia yake ili kuwaondoa ile kumbukumbu mbaya walionayo kichwani mwao kuhusu uzushi uliomzushia ndugu au baba yao.

Kwenda kujing'ang'aniza kutoa machozi ili kuwahadaa baadhi ya watu wasiozijua nguzo za siasa nilizozitaja hapo juu, haitasaidia kuondoa dhana mbaya walizonazo watoto wa marehemu.

Nafikiri toka zamani kiongozi wetu alikuwa anataka Lowasa na yeye achomwe moto kama wanavyochomwa vibaka, ila Mungu hakuruhusu hilo litokee kamwe.

Picha zinaeleza kila kitu, na bahati nzuri mwenyewe anakiri kuwa kuna unafiki unafanyika msibani.
View attachment 2901449View attachment 2901450
RIP ndugu Edward Lowasa
Mbele yako, nyuma yetu.

View: https://twitter.com/IAMartin_/status/1757073592209064099?t=66WlQbaTaxtQu9qU3ytd6Q&s=19
 
Hapana, nazungumzia Uzi wako ila isiwe kesi, nasikia kuna msiba mwingine! Anzisha Uzi kule
Huko kwengine wataanzisha uzi wengine mkuu.

Lengo la uzi wangu ni kutaka kueleza ukweli kuhusu unafiki unaofanywa na wanasiasa wanaofanya siasa za majitaka kuchafua wenzao, alaf unapotokea msiba wa wanaochafuliwa, wale wanaochafua wenzao wanajifanya kuja kumsifu walimchafua kinafiki.

Hii ni kwa wanasiasa wote wa vyama vyote. Ila bahati nzuri wengine walikuwa washaanzishiwa uzi tayari.
 
Afadhali hapa umekua general na sio specific! Asante uwe na siku njema
 
Hivi kati ya Chadema na Ccm ni nani ana takiwa kuomba familia ya marehemu Lowasa msamaha?
Ccm wali mnyanyasa Lowasa kwa kiwango cha lami.
Kumbukeni zengwe la Richmond, kumbukeni uchaguzi wa 2015 kati ya Chadema na Ccm ni nani alie ibua mazengwe kwa mzes wa watu?
Baada ya Lowasa kuhama chama, mkamtafuta Fatuma wa Kigamboni na kumtunga amchafue mzee wa watu mwaminifu kwenye ndoa yake ati hugo malaya aseme ni mtoto wa Lowasa..
Kama haitoshi Ccm mka zuia biashara zake zote ili afe njaa.
Toba Ccm mnatakiwa kufanya kubwa sana na sijui kama Mungu ata wasamehe maana mlitakiwa muombe msamaha kabla haja twaliwa
 
Afadhali hapa umekua general na sio specific! Asante uwe na siku njema
Hiyo specific ndo unafiki wenyewe tunaaongelea hapa. Marehem alianza kuchafuliwa muda mrefu, let's say 2008 hadi 2015 ilikuwa ni mwendo wa kumchafua tu kwa kila baya. Na waliomchafua kuanzia hiyo 2008 hadi 2015 wanajulikana.

Lakini cha kushangaza wamekuwa wakisemwa waliomchafua kuanzia 2015, huku wahusika waliomchafua kianzia 2008 hadi 2015 wakifichwa fichwa ili isijulikane kuwa na wao walihusika katika uchafuzi ambao ulisababisha marehem asiaminiwe na watanzania wengi kutokana na kashfa za ufisadi ambao haukuthibitishwa mpaka sasa. So mimi nimeweka sawa, kuwa hakuanza kuchafuliwa 2015 tu, bali alianza kuchafuliwa 2008, na waliomchafua wote wanajifanya hawakuhusika na uchafuzi wowote wa marehemu. Kitu ambacho ni unafiki mkubwa.
 
Hiyo specific ndo unafiki wenyewe tunaaongelea hapa. Marehem alianza kuchafuliwa muda mrefu, let's say 2008 hadi 2015 ilikuwa ni mwendo wa kumchafua tu kwa kila baya. Na waliomchafua kuanzia hiyo 2008 hadi 2015 wanajulikana.
Imebidi nirudi kwenye title yako, why Chadema na sio CCM? Ulisema vyema mwanzo kuwa ni wote, you are wrong.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu

Kwanza natoa pole kwa familia ya mzee wetu hayati Edward Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, natoa pole pia kwa watanzania wenzangu kwa kuondokewa na aliewahi kuwa waziri mkuu wetu hayati Edward Lowasa.

Ki ukweli huu msiba umewashtua wengi wakiwemo ndugu zake, marafiki zake na hata maadui zake. Hivyo haishangazi kuona kila mtu anauzungumzia msiba huu.

Lakini pamoja na yote kuna hili jambo la mtu ambae aliwahi kuonesha chuki za wazi kwa hayati Edward Lowasa enzi za uhai wake, eti leo anajifanya ni mwema wake na rafiki yake ambae ameguswa mno na kifo chake 😳😳.

Hivi umeshawahi kuona wapi mtu ambae anakuombea mabaya, siku ukiyapata hayo mabaya eti anakuja tena kusikitika. Huu kama sio unafiki ni nini!!

Sawa inafahamika vizuri kwamba nguzo kuu za siasa ni (1) uongo (2) unafiki (3) na uzushi. Lakini inapotokea pale uliemzushia jambo amefariki, huku ukiwa unajua kuwa ulichomzushia hakina ukweli wowote, basi ni vizuri kuiomba msamaha familia yake ili kuwaondoa ile kumbukumbu mbaya walionayo kichwani mwao kuhusu uzushi uliomzushia ndugu au baba yao.

Kwenda kujing'ang'aniza kutoa machozi ili kuwahadaa baadhi ya watu wasiozijua nguzo za siasa nilizozitaja hapo juu, haitasaidia kuondoa dhana mbaya walizonazo watoto wa marehemu.

Nafikiri toka zamani kiongozi wetu alikuwa anataka Lowasa na yeye achomwe moto kama wanavyochomwa vibaka, ila Mungu hakuruhusu hilo litokee kamwe.

Picha zinaeleza kila kitu, na bahati nzuri mwenyewe anakiri kuwa kuna unafiki unafanyika msibani.
images (2).jpeg

Hapa unawasema akina Nape, Jakaya na Kinana siyo?
Nape! Ikulu siyo wodi ya wagonjwa!!!!

Hizi ndizo nguzo zilizo liharibu taifa! kwa upumbavu mkubwa wa CCM eti hata kuhadaa, kulaghai, kughilibu na hata kuua ni siasa!!?? Tumeshuhudia ghiliba ya 4Rs hapa na maridhiano mchongo! saa100 na kinana Mungu atakuadhibu tu!!

Hata lile jinamizi tulilolifukia chattle lilianzisha mahakama kwa ajili lowasa likamkosa!
Likaishia kuharibu biashara zake eg. Jengo la tanesco ubungo!

Afadhali hawa walimkaribisha kwenye chama kuliko waliomroga baada kuja kwenye chama! Jakaya Mungu anakuona! Eleza uchawi wa kumroga EL uliupata wapi hadi umemuua!!
 
Hata ukijaribu kuandika kinyume chake hii haitabadilisha ukweli wa chuki za moja kwa moja za siasa majitaka zilizooneshwa na viongozi wa vyama vya upinzani.

Walimchafua na kumshambulia akiwa waziri mkuu.

Walimshambulia na kumchafua akiwa ashajiuzulu uwaziri mkuu
Walimwita fisadi papa bila kututhibitishia ufisadi wake.

Walituambia wanashangazwa jinsi watu wanavyochoma moto vibaka, huku wachomaji hao wakimuacha Lowasa aendelee kudunda mtaani, hapo mwenye akili anafaham vizuri lengo na nia ya kauli hiyo.

Walisema ni heshima kwa Mungu kwa mtu kumzomea Lowasa, lengo ni kutaka watu waanze kumzomea Lowasa kila wanapomuona ili wapate heshima kw Mungu, angalia video katika post namb 20.

Hao unaojaribu kuwaandika hapa hawana maana yoyote maana tayari washaandikwa kwa yale waliomfanyia Lowasa katika uzi zingine na zipo humu ila hawa miungu wenu watu nilioawaandika mimi walikuwa hawajaandikwa kana kwamba na wao hawakuwahi kumchafua marehemu. Huu ni unafiki mkubwa sana.
 
List ni ndefu kweli. Angalia post namba #20 kuna video ya muhusika mkuu aliemchafua Lowasa na kumdhalilisha kwa kadri alivyojisikia.

Ila kati ya wote Nape ndiye inabidi aone aibu .... yaani alitakiwa hata atafte kasafari ka ghafla nje ya nchi mpaka msiba upite. Yale maneno aliyoyatoa 2015 kwenye kampeni hayastahili kusamehewa na watoto au ndugu wa marehemu.
 
Hata ukijaribu kuandika kinyume chake hii haitabadilisha ukweli wa chuki za moja kwa moja za siasa majitaka zilizooneshwa na viongozi wa vyama vya upinzani.

Walimchafua na kumshambulia akiwa waziri mkuu.

Walimshambulia na kumchafua akiwa ashajiuzulu uwaziri mkuu
Walimwita fisadi papa bila kututhibitishia ufisadi wake.

Walituambia wanashangazwa jinsi watu wanavyochoma moto vibaka, huku wachomaji hao wakimuacha Lowasa aendelee kudunda mtaani, hapo mwenye akili anafaham vizuri lengo na nia ya kauli hiyo.

Walisema ni heshima kwa Mungu kwa mtu kumzomea Lowasa, lengo ni kutaka watu waanze kumzomea Lowasa kila wanapomuona ili wapate heshima kw Mungu, angalia video katika post namb 20.

Hao unaojaribu kuwaandika hapa hawana maana yoyote maana tayari washaandikwa kwa yale waliomfanyia Lowasa katika uzi zingine na zipo humu ila hawa miungu wenu watu nilioawaandika mimi walikuwa hawajaandikwa kana kwamba na wao hawakuwahi kumchafua marehemu. Huu ni unafiki mkubwa sana.
Utakuwa mzandiki wa ajabu kutokutambua kuwa huyu alikuwa mgombea wa CDM 2015 na akamgaragaza jiwe kwa kiwango cha mt everest!
Walikuja kugundua baadaye mkosaji ni yule mbwa mkenua meno JAKAYA aliyejaa ghiliba ndiyo maana wakamwita kwenye chama!
Hata baada ya kuwa mgombea na kufanikiwa kuvunja ngome ya CCM ulitaka waendelee kumnanga!?
Ulitaka waendelee kumnanga hata baada kuwa member wa kamati kuu ya chama
Nape na mbwa wengine wa kijani walikuja kumnanga alipokuwa CDM.
Mnafiki ni nani?
Ninakuuliza we Dumuzi mbungua nafaka za nchi!!
 
Ila kati ya wote Nape ndiye inabidi aone aibu .... yaani alitakiwa hata atafte kasafari ka ghafla nje ya nchi mpaka msiba upite. Yale maneno aliyoyatoa 2015 kwenye kampeni hayastahili kusamehewa na watoto au ndugu wa marehemu.
Dah Nape alizingua kweli kweli. Huyo karma itamtafuna tu mdogo mdogo.

Angekuwa na akili angeenda kumuomba marehemu msamaha kabla ya kifo chake, maana alikuwa na muda mzuri wa kuomba na kusamehewa. Ila ndo hivyo yeye anajiona amemaliza hana cha kupoteza, kumbe hajui kuwa binadam "kabla hajafa hajaumbuka".
 
Habari zenu wanaJF wenzangu

Kwanza natoa pole kwa familia ya mzee wetu hayati Edward Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, natoa pole pia kwa watanzania wenzangu kwa kuondokewa na aliewahi kuwa waziri mkuu wetu hayati Edward Lowasa.

Ki ukweli huu msiba umewashtua wengi wakiwemo ndugu zake, marafiki zake na hata maadui zake. Hivyo haishangazi kuona kila mtu anauzungumzia msiba huu.

Lakini pamoja na yote kuna hili jambo la mtu ambae aliwahi kuonesha chuki za wazi kwa hayati Edward Lowasa enzi za uhai wake, eti leo anajifanya ni mwema wake na rafiki yake ambae ameguswa mno na kifo chake 😳😳.

Hivi umeshawahi kuona wapi mtu ambae anakuombea mabaya, siku ukiyapata hayo mabaya eti anakuja tena kusikitika. Huu kama sio unafiki ni nini!!

Sawa inafahamika vizuri kwamba nguzo kuu za siasa ni (1) uongo (2) unafiki (3) na uzushi. Lakini inapotokea pale uliemzushia jambo amefariki, huku ukiwa unajua kuwa ulichomzushia hakina ukweli wowote, basi ni vizuri kuiomba msamaha familia yake ili kuwaondoa ile kumbukumbu mbaya walionayo kichwani mwao kuhusu uzushi uliomzushia ndugu au baba yao.

Kwenda kujing'ang'aniza kutoa machozi ili kuwahadaa baadhi ya watu wasiozijua nguzo za siasa nilizozitaja hapo juu, haitasaidia kuondoa dhana mbaya walizonazo watoto wa marehemu.

Nafikiri toka zamani kiongozi wetu alikuwa anataka Lowasa na yeye achomwe moto kama wanavyochomwa vibaka, ila Mungu hakuruhusu hilo litokee kamwe.

Picha zinaeleza kila kitu, na bahati nzuri mwenyewe anakiri kuwa kuna unafiki unafanyika msibani.
View attachment 2901449View attachment 2901450
RIP ndugu Edward Lowasa
Mbele yako, nyuma yetu.

Kama wewr umemkosea Lowasa si ukaombe msamaha? Kwa nini kuwataka wenzako ambao hawaoni wamekosea.?
 
Back
Top Bottom