Nilitegemea katika siku ya gawio rais apokee gawio kutoka TANESCO, TTCL, ATCL, TRC ambao hawakutoa gawio na sio yeye kupewa tuzo.

Nilitegemea katika siku ya gawio rais apokee gawio kutoka TANESCO, TTCL, ATCL, TRC ambao hawakutoa gawio na sio yeye kupewa tuzo.

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,994
Reaction score
24,902
Siku ya kutoa gawio kwa serikali ni siku ambayo rais alipaswa kuichukulia kama accountability day kwa mashirika yote ya Umma. Ni siku ambayo mbivu na mbichi zinapaswa kuanikwa na pengine watu kuchukuliwa hatua kwa kutotoa gawio lolote.

Lakini katika siku hiyo mwaka huu TANESCO, TTCL, ATCL, TRC na wengine hawakutoa gawio kwa serikali. Mashirika haya yamekuwa mzigo kwa watanzania na yameendea kutegemea ruzuku ya serikali kuyaendesha.

Nilitegemea kuona rais anayawajibisha mashirika haya ambayo kwa miaka mingi yamekuwa yakipewa fedha za watanzania maskini badala ya mashirika haya kuchangia fedha kwenye uchumi wa Taifa letu. Badala yake rais anaishia kupewa tuzo.
 
Siku ya kutoa gawio kwa serikali ni siku ambayo rais alipaswa kuichukulia kama accountability day kwa mashirika yote ya Umma. Ni siku ambayo mbivu na mbichi zinapaswa kuanikwa na pengine watu kuchukuliwa hatua kwa kutotoa gawio lolote.

Lakini katika siku hiyo mwaka huu TANESCO, TTCL, ATCL, TRC na wengine hawakutoa gawio kwa serikali. Mashirika haya yamekuwa mzigo kwa watanzania na yameendea kutegemea ruzuku ya serikali kuyaendesha.

Nilitegemea kuona rais anayawajibisha mashirika haya ambayo kwa miaka mingi yamekuwa yatipewa fedha za watanzania maskini badala ya mashirika haya kuchangia fedha kwenye uchumi wa Taifa letu. Badala yake rais anaishia kupewa tuzo.
Mama yenu anapenda sana tuzo, na PhD hadi anatoka kwenye reli na kuingia kwenye mfumo wa wakora
 
Nikweli ATCL inajiendesha kwa hasara jana wakati natoka mwanza kuja Dar nilipanda ndege kubwa sana sijui ni bombader yenye seat 3×3×3 hiyo ni row moja .
Lakini idadi ya watu tuliokuwepo ni robo hapa nikajua ni mwendo wa hasara tu
 
Ni mashirika yanayotumiwa kufanya ufisadi

Yakiwa na faida au ziada ya fedha na njia za ufisadi zitapungua
 
TRC wameanza kujiendesha January ,tena wameanza kulipana mishahara hiyo January.
 
Back
Top Bottom