BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Uwanja wa fisi umetulea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungewahubiria neno la Mungu, ili wajue Mungu anawapenda sana na hapendi wateseke kuliko kutoa sadaka kwenye vyumba vyao na kuondoka huku unalia.Mtu mzima akilia hakika ujue kuna jambo. Majuzi nililia njia nzima mpaka kufikia kushindwa ku drive vizuri. Roho inaniuma mpaka muda huu ninaoandika hapa.
Dada zetu wamechoka, dada zetu wana hali mbaya. Ni mabinti wa miaka 15 mpaka 25 wengi wao, ila sura zinakataa, sura zimechoka, sura za kizee[emoji24][emoji24][emoji24]
Nilifikiria mengi. Wamekata tamaa ya maisha na je, miongoni mwao angekuwepo dada au ndugu yangu yeyote?
Nilikuwa naingia vyumbani(kwa Wahaya) as if nataka huduma, nauliza bei then namlipa mara mbili yake na kutoka nje. Nilifanya hivi kwa wale malaya walioonekana kuwa na umri mkubwa mno[emoji24] naumia sana.
Na hata kwa vibinti nilifanya vivyo hivyo, Kimboka nilitoa machozi, Lubumbashi, River Side, Kitambaa cheupe n.k japo kwa siku tofauti tofauti.
Naumia sana[emoji24][emoji24][emoji24] daaaah, kumbe kuna watu wanateseka hivi? Roho inaniuma mno.
Naomba nisiendelee tafadhali[emoji24].
[emoji16]Anzisha asasi ya kiraia ya kuwasaidia wanawake waliokumbwa na kadhia hiyo mkuu. Naimani ukiandaa proposal nzuri na kupeleka kwenye organizations zinazohusiana na women empowerment unaweza ukapata donors wakueleweka na kutimiza ndoto zako za kuwasaidia.
Kule Sudan pamelaaniwa[emoji26]Mkuu Kuna sehemu mbili tatu hujafika.
Mtaa wa Sudan.
Tandika mkund@ buku,
Mbagala
Buza
Mwananyamala na
Kinondoni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna wadada wengi humu hawajui kwa wahaya au Temeke Sudan kulivyo au wadada wanavyo subiri wateja. Hiyo stuli unayoona haina MTU ujue mwenyewe Yuko ndani ananyanduliwa.
Picha kwa hisani ya
mpwayungu village
Ila huwezi ukaweka makaa ya moto kwenye kifua na nguo zako zisiungue!! Hayo ni maneno ya hekima ya mfalme Sulemani. Sasa wewe unatuambia umeweka makaa ya moto kwenye kifua na nguo zako hazikuungua!!! Sema tu ukweli HUDUMA ULIPATA!! japo hukuwa unafuata huduma ila kanuni ya kuweka makaa ya moto kwenye kifua yakakupelekea kupata huduma (nguo kuungua). Uasherati unaushinda kwa kuukimbia na siyo kuufuatilia na kuutazama, tusidanganyane!!
OMG ni ya kweli haya? Kumbe ni wezi/matapeli? How?Unashindwa kuwaonea huruma wakina mama wanaotembeza maji juani huku wamebeba watoto mgongoni unawaonea huruma hao malaya wanaoshirikiana na boda boda kufanya utapeli na wizi
HakikaKuna muda Ili tue WATU BORA hatuna budi ku tembelea kwenye watu wenye uhitaji....hii ita tushepu sana kwenye eneo la Imani yako ya dini...
Naweza kuanzisha NGO ila si kwa ajili ya makahabaAnzisha NGO tuangalie jinsi ya kuwasaidia. JF ina watu wengi wenye huruma. Tunaweza kuchanga kidogo tukawawezesha Walio teyari kutoka huko. Kulia akusaidii sana.