Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

Bora ya time Frame hiyo mkuu, ila hawa pasta kichwa anataka hela ili muongee sasa si tayari unakuwa umesha imagine huyu ni muuzaji
Hao dawa yao unawapa mualiko waje kucheza sebene.kufikia hapo kama bado anaakili hata kidogo za kuvukia barabara ataabort mission ila kama ni kungwi lazima litimbe kunako Santiago bernabeu😅😅😅
 
Naomba niseme jambo moja, We chalii tafuta hela uache kulalamika hovyo. Na hapo ukute umeombwa hela haizidi hata 50k.

NB: Bila hela hata huyo understanding girlfriend wako Utatombew.a
Acha zako wewe unahela??!!! wenye hela wapo JF bwana wewe, acha swaga kijana na kama unahonga hovyo bila RUTURN ON INVESTIMENT jua wewe ni LOFA FIST GRADE!!!
 
Duuh ila walimwengu mnamambo kweli kwamba mahandaki? 😂 😂
 
Toa hela
 
Duuh ila walimwengu mnamambo kweli kwamba mahandaki? 😂 😂
Oya nyapu za hawa maskini zimetembezwa makilometa ukiiangalia hivi imetepeta kinoma unabaki unawaza hapa muscles zote zimetera over🤣🤣🤣
ukimbidua hivi unaona mfuniko wa chemba uko wazi unajua leo nimevamia mtumbwi wa vibwengo, mood inakata unajisonya leo huu mtumba grade F
 
Mkuu ni kweli ila huwa wanajishushia gredi kwa kuomba hela hata ya kuonana tu, yeye aseme na anipange mimi ni mtu wa namna hii ukiwa tumekutana sawa, sasa wewe kuonana tu unataka hela sio ujuha huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…