Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Hehe welcome to the team... MI nimekuwa kilema kabisa siwez kuwa na mahusiano Zaid ya kuchat kwa [emoji336].... Na siwez sogelea mwanaume.....nishaweka akili yangu... hivyo nimetoa kipengele cha mwanaume sababu naogopa the maumivu.. life goes on happy And busy no stress...Asante nafanya kazi nashukuru na maisha yanaenda
Ni pm tafadhalNdugu zangu mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Niliumizwa sana na mwenzangu baba wa mtoto wangu na nimeachana nae miaka 12 iliyopita.
Mtoto yuko Form One, baba hana hata habari nae, lakini nashukuru mungu nimejitahidi na nitajitahidi apate elimu. Tatizo ni kwamba kila nikiingia kwenye uhusiano mpya nakuwa muoga na sana imefikia hatua sihitaji tena kuwa na mwanaume. Yaani naogopa vitu vilivyonitokea mwanzo na mwisho nahisi sijui kumpenda mtu yaani kuubwaga moyo nakuwa na wasiwasi na kushindwa kujiachia.
Naombeni ushauri nifanyeje ili niwe sawa na wanawake wengine
Mkuu,tabia zetu tunazijua wenyewe..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] oh akapolea kusikojulikana?!
Baki mwenyewe tu lea mwanao wanaume achana nao
kitu LOVE weka pemben jione we ndo baba ndo mama huyohuyo kama pesa zinakusumbua fungua miladi km y ujenzi wa nyumba z kupanga il iwe ya huyo mtoto akimalza chuo maana ajira zenyew adimu,,,,,, penda kujiweka BUSY!!!!!!! ukihsi unataka kuongeza mtoto RUKSA ila bamtoto asepe ulee usimuwazie,,,, lyf is go on.
Siumii kwa ajili ya kukupenda,sikupendi na nawachukia hadi wengine kwa ajili yako nakuchukia sana[emoji23]
Pole sana dadaNdugu zangu mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Niliumizwa sana na mwenzangu baba wa mtoto wangu na nimeachana nae miaka 12 iliyopita.
Mtoto yuko Form One, baba hana hata habari nae, lakini nashukuru mungu nimejitahidi na nitajitahidi apate elimu. Tatizo ni kwamba kila nikiingia kwenye uhusiano mpya nakuwa muoga na sana imefikia hatua sihitaji tena kuwa na mwanaume. Yaani naogopa vitu vilivyonitokea mwanzo na mwisho nahisi sijui kumpenda mtu yaani kuubwaga moyo nakuwa na wasiwasi na kushindwa kujiachia.
Naombeni ushauri nifanyeje ili niwe sawa na wanawake wengine
Hayo ni mapito tu kma yeye alikutenda sio kila mwanaume ni mbaya....unajiumiza roho kuishi mwenyewe istoshe hata wazazi wetu wamepitia magumu kuliko hayo ila ndoa zao zimedumu.....anza upya utapata akupendae huyo hakua wakoSababu ni nyingi alafu nilikuwa na 20yrs baada ya yy kutuacha nilirudi chuo nikapata ya kawaida lkn inanosaidia mm na mtoto yy hata muda na mtoto hana aliyonikosea ni mengi lkn kubwa lilikuwa kutembea na wanawake tena bila kujificha na kuwadharau wazazi wangu na wake pia alipokuwa anaitwa kuulizwa kinginr hakuwa mkweli kazini alikuwa ashachukua michango ya ndoa na kutumia na kuwa anavaa pete ya ndoa job nyumbani anaificha kumbe tulikuwa bado hatujafunga ndoa wakati wa màndalizi ya ndoa rafiki yake akaja kuniambia huku akilalmika ametembea na mke wake pia,ni mengi siwez maliza
Mimi si wa kujaza mkuu.... Na najazwaMkuu,tabia zetu tunazijua wenyewe..
Unamjaza mtu mimba na unatokomea mashariki ya mbali huko..
single mothers wamekua wakisema wamesuswa na walio wazalisha,inaweza ikawa sawa ila chanzo hamki weki wazi.inatokea mwanaume anakuja kumjulia hali mwanae na matumizi ila mama(single mother)ananza drama na kukumbushia ya kale bila kujali haki ya mtoto wake anaeitaji malezi ya pande mbili.Ndugu zangu mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Niliumizwa sana na mwenzangu baba wa mtoto wangu na nimeachana nae miaka 12 iliyopita.
Mtoto yuko Form One, baba hana hata habari nae, lakini nashukuru mungu nimejitahidi na nitajitahidi apate elimu. Tatizo ni kwamba kila nikiingia kwenye uhusiano mpya nakuwa muoga na sana imefikia hatua sihitaji tena kuwa na mwanaume. Yaani naogopa vitu vilivyonitokea mwanzo na mwisho nahisi sijui kumpenda mtu yaani kuubwaga moyo nakuwa na wasiwasi na kushindwa kujiachia.
Naombeni ushauri nifanyeje ili niwe sawa na wanawake wengine
Kweli ww mfitinishaji ila mawazo yako yameheshimika ila sijawahi mtambulisha mwanangu baba yeyote na hapa sijaja kwa ajili ya kutelekezwa wala kutafuta bwana kama una matatizo yako weka wazi watu wakushauri usimalizie hasira kwangu mkuu,soma vizuri ninaomba msaada niweze kusahau siyo kutafuta bwana mpya [emoji23]single mothers wamekua wakisema wamesuswa na walio wazalisha,inaweza ikawa sawa ila chanzo hamki weki wazi.inatokea mwanaume anakuja kumjulia hali mwanae na matumizi ila mama(single mother)ananza drama na kukumbushia ya kale bila kujali haki ya mtoto wake anaeitaji malezi ya pande mbili.
sijamaanisha alieomba ushauri anahusika na baba kumtelekeza mtoto ila namaana muwe pia mnasema unahisi nini itakua sababu ya baba kumtelekeza mwana.
mwanaume aliepitia hali hii anajua nataka kusema nini.
unakuta mwanaume kajiludi kwa mzazi mwenzake walee mtoto ila mwanamke anavo anza drama oooh uliniacha nimesha zoea ntamlea peke angu mwanangu,namaneno mengi ya shombo na kudhalilisha.unakuta mwanamke anamwekea ugumu baba kumsaidia mwana ila kwa watu huyo mama atatangaza ametelekezwa Na analea pekeee....ili iweje?
mwanamke unaumri 35 na umepata mtoto mkubwa yupo sekondari,bado unatafuta mpenzi kweeeli! mbona unamtia aibu mwanao ni aibu kumtambulisha mwanao baba mpya kila mwaka.
kwanini usifanye kazi nikipi ujakifanya adi umothers.
samahani kwanilicho kiandika kinaweza kisieleweke hasa kwa mtu ambae hakuwa kuona lawama za uongo za hawa single mothers
mpaka Leo nimekutana na single mothers wengi kwahiyo na kiamini nacho kiandika .kwangu Mimi kati ya single mothers kumi wanaodai wametelekezwa, mmoja kati yao yeye ndio sababu(hasa single mothers wenye vipato)
kwanini wanafanya ivi?subili yakufike.
#tuwe wakweli tunapo changia hoja kama hizi tuangalie sana katika jamii zetu ukweli upo,tusiwe tunangalia keyboard ilete maneno
mwisho nawaonea huruma sana single mothers waliotelekezwa Mungu awape riziki muwalee watoto.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] oh watu wengine huwa Waajabu Sana ameandika maneno teeeeleKweli ww mfitinishaji ila mawazo yako yameheshimika ila sijawahi mtambulisha mwanangu baba yeyote na hapa sijaja kwa ajili ya kutelekezwa wala kutafuta bwana kama una matatizo yako weka wazi watu wakushauri usimalizie hasira kwangu mkuu,soma vizuri ninaomba msaada niweze kusahau siyo kutafuta bwana mpya [emoji23]
[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] upo the nje ya Mada ya mleta post anzisha uzisingle mothers wamekua wakisema wamesuswa na walio wazalisha,inaweza ikawa sawa ila chanzo hamki weki wazi.inatokea mwanaume anakuja kumjulia hali mwanae na matumizi ila mama(single mother)ananza drama na kukumbushia ya kale bila kujali haki ya mtoto wake anaeitaji malezi ya pande mbili.
sijamaanisha alieomba ushauri anahusika na baba kumtelekeza mtoto ila namaana muwe pia mnasema unahisi nini itakua sababu ya baba kumtelekeza mwana.
mwanaume aliepitia hali hii anajua nataka kusema nini.
unakuta mwanaume kajiludi kwa mzazi mwenzake walee mtoto ila mwanamke anavo anza drama oooh uliniacha nimesha zoea ntamlea peke angu mwanangu,namaneno mengi ya shombo na kudhalilisha.unakuta mwanamke anamwekea ugumu baba kumsaidia mwana ila kwa watu huyo mama atatangaza ametelekezwa Na analea pekeee....ili iweje?
mwanamke unaumri 35 na umepata mtoto mkubwa yupo sekondari,bado unatafuta mpenzi kweeeli! mbona unamtia aibu mwanao ni aibu kumtambulisha mwanao baba mpya kila mwaka.
kwanini usifanye kazi nikipi ujakifanya adi umothers.
samahani kwanilicho kiandika kinaweza kisieleweke hasa kwa mtu ambae hakuwa kuona lawama za uongo za hawa single mothers
mpaka Leo nimekutana na single mothers wengi kwahiyo na kiamini nacho kiandika .kwangu Mimi kati ya single mothers kumi wanaodai wametelekezwa, mmoja kati yao yeye ndio sababu(hasa single mothers wenye vipato)
kwanini wanafanya ivi?subili yakufike.
#tuwe wakweli tunapo changia hoja kama hizi tuangalie sana katika jamii zetu ukweli upo,tusiwe tunangalia keyboard ilete maneno
mwisho nawaonea huruma sana single mothers waliotelekezwa Mungu awape riziki muwalee watoto.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
UongoKwanza nakupa pole sana.
Pili nasikitika kama mmeachana miaka 12 iliyopita ila mpaka sasa huna mwenza kwani umri sahihi wa kubeba mimba kwa mujibu wa wataalamu wa afya ya uzazi kwako umefika mwisho.