Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Bado anaweza beba mimbaKwanza nakupa pole sana.
Pili nasikitika kama mmeachana miaka 12 iliyopita ila mpaka sasa huna mwenza kwani umri sahihi wa kubeba mimba kwa mujibu wa wataalamu wa afya ya uzazi kwako umefika mwisho.
kuwa malaya tu na wewe umkomoeNdugu zangu mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Niliumizwa sana na mwenzangu baba wa mtoto wangu na nimeachana nae miaka 12 iliyopita.
Mtoto yuko Form One, baba hana hata habari nae, lakini nashukuru mungu nimejitahidi na nitajitahidi apate elimu. Tatizo ni kwamba kila nikiingia kwenye uhusiano mpya nakuwa muoga na sana imefikia hatua sihitaji tena kuwa na mwanaume. Yaani naogopa vitu vilivyonitokea mwanzo na mwisho nahisi sijui kumpenda mtu yaani kuubwaga moyo nakuwa na wasiwasi na kushindwa kujiachia.
Naombeni ushauri nifanyeje ili niwe sawa na wanawake wengine
umeomba ushauri uwe kama wanawake wengine,unashauriwa unaanza kuleta ngebe,ndio maana uliumizwa kumbe,jamaa alioa mwanamke mwingine,ha ha ha haa!Tumeumbwa tofauti sikushangai kila mtu kajaaliwa uelewa wa peke yake!! Hicho ndo kiwango ulicho jaaliwa ww!
we nae haueleweki,nahisi unanitafutia ban hapa,kwaheri!Kwa hiyo wanawake wengine ni malaya?mungu akusamehe bure
Siumii kwa ajili ya kukupenda,sikupendi na nawachukia hadi wengine kwa ajili yako nakuchukia sana[emoji23]
Alienda kwa mtu ambaye sio type yake halafu hataki kumtoa moyoni.Hilo ndo tatizo lako, hujamuachilia huyo mtu bado yupo moyoni ndo maana unashindwa kusonga mbele!
Mtoe moyoni kwanza
pole mammy , usiogope kubeba ingine,Sitaki mimba hata hivyo nataka kuendelea na maisha n kufuta dhana ambayo imejengeka kichwani mwangu kuhusu wanaume ili niwe free![emoji15] mimba tenaaaa
Sababu ni nyingi alafu nilikuwa na 20yrs baada ya yy kutuacha nilirudi chuo nikapata ya kawaida lkn inanosaidia mm na mtoto yy hata muda na mtoto hana aliyonikosea ni mengi lkn kubwa lilikuwa kutembea na wanawake tena bila kujificha na kuwadharau wazazi wangu na wake pia alipokuwa anaitwa kuulizwa kinginr hakuwa mkweli kazini alikuwa ashachukua michango ya ndoa na kutumia na kuwa anavaa pete ya ndoa job nyumbani anaificha kumbe tulikuwa bado hatujafunga ndoa wakati wa màndalizi ya ndoa rafiki yake akaja kuniambia huku akilalmika ametembea na mke wake pia,ni mengi siwez maliza
Dada wakati najifunza kuendesha gari niligonga na kuumia sana mpaka nilipelekwa hospital lakini sijakata tamaa ya kuendesha gari. Mpaka sasa nimekuwa dereva mzuri sana na napenda kuendesha gari sana. Hapa na maanisha kutendwa (kuumizwa) na huyo baby daddy wako isiwe ndio sababu ya kujinyima furaha yako. Tafuta mwengine awe daktari akupoze maumivu ulioyapata. Bila ya kupata dawa na hakika kidonda kitaoza hicho. Jinsi ya kutatua hisia zako za kuumizwa kwanza omba mungu sana akusahaulishe yalopita. Halafu jaribu kusahau kila baya na jema alilo kufanyia. Na mwisho omba mungu akupatie mwenza atakayekupa furaha ya moyo na wewe mwenyewe ndio mleta furaha halisi.Ndugu zangu mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Niliumizwa sana na mwenzangu baba wa mtoto wangu na nimeachana nae miaka 12 iliyopita.
Mtoto yuko Form One, baba hana hata habari nae, lakini nashukuru mungu nimejitahidi na nitajitahidi apate elimu. Tatizo ni kwamba kila nikiingia kwenye uhusiano mpya nakuwa muoga na sana imefikia hatua sihitaji tena kuwa na mwanaume. Yaani naogopa vitu vilivyonitokea mwanzo na mwisho nahisi sijui kumpenda mtu yaani kuubwaga moyo nakuwa na wasiwasi na kushindwa kujiachia.
Naombeni ushauri nifanyeje ili niwe sawa na wanawake wengine
Teh teh tehutamgegeda wewe?
Asante
hahahahahahaha good morningTAFUTA "SPERM DONOR" UZAE MWINGINE WA MWISHO...KAMOJA TUU HATA HAINOGI NA KIZAZI UNACHO...
JAZAJAZA DUNIA MAMAM YANGU BAIOLOJIA INAKUPA MUDA MFUPI KABLA HUJAFIKIA MENOPAUSE...WAHI SASA WAHI HARAKA.
IN CASE UKIKOSA DONOR..KARIBU TUJADILI NAWEZA KUTOA MSAADA HUO.
hao single ndio ma player wenyewe njoo kwangu married but troubled...sisi ndio wazeefu wa kuridhisha wanawake, nakupa nyumba, gari na starehe zote, sikuchoshi kitandani..Kama binadamu ulitetimia huwezi epuka hilo utapatwa na msongo wa mawazo na kuishia kufanya dhambi au vitu.vingine vitakavyo kuaibisha bure.
Nakushauri pata mwanaume aliye single au mwenye status kama yako. Kuwa nae wazi na usijibwage mapema. Chukuwa muda mkiwa narafiki... wanaume wengi watapenda kukutumia kama utaharakisha kutoa penzi
Jipe muda msome kwa muda na mchukulie kama rafiki tu. Kuamua kuoana iwe mwisho kabisa mtakapo kubaliana.
Usianze kwa kuwaza ndoa, anza na urafiki ili mkishindwana mnaachana kwa upole...
Again do not commit yourself unless you are very sure. Awe partner tu.. mpime status kwanza.
Kila lakheri bibie.
Hahaha..basi kuwa makini usije ukaja kuomba ushauri hapa[emoji23]Mimi si wa kujaza mkuu.... Na najazwa
Hahaha..basi kuwa makini usije ukaja kuomba ushauri hapa[emoji23]