Niliumizwa sana nashindwa kusahau

nimekwelewa,nimesema simaniishi wewe ndivyo ulivyo apana ila nimetumia nafasi hiyo kusema nachokiamini japo sio sehemu sahihi ila so mbaya.

#kwakua umesema huitaji mme ila kumsahau aliepita nakushauri kuwabize na kazi pamoja na Mungu.


wanaume tumechafukwa sana,na anaeweka tegemeo kwetu kwakweli namshangaa sana
 
wamechwafukwa na nini mkuu ? mbona unajumlisha wote? ....
 
Nipigie nikushauri utapona tu 0715268499
 
Pole sana. Unahitaji ushauri nasaha dada yangu. Tatizo lako ni la afya ya akili lililosababishwa na huo uzoefu wako mbaya wa kimapenzi/kimahusiano uliopita na linaitwa Post-traumatic Stress Disorder (PTSD). Inawatokea wengi kwa kiwango na athari tofauti tofauti kwasababu pia watu wako tofauti. Ukipata tiba sahihi ambayo inakuaga psychotherapy (inahusiana na counselling), utapona kabisa. Utakuwa wa kawaida tena!!

Lakini haimaanishi kuwa baada ya kupona basi uanze kupenda penda ovyo. Hapana. Jifunze kutokana na past yako. Wewe ni binadamu...una mahitaji ya mwili. Ila lazima uwe makini sana usije ukavuruga maisha yako uliyoyatengeneza tayari na ya mtoto wako plus ndoto zako nyingine. Kwa kuwa una mtoto tayari, chukulia hiyo ndio familia yako na priority yako. Mwanamme atakayekuja awe supplementary tu...but umheshimu!!!
 
Wapi naweza pata hiyo cancelling!? Naomba maelekezo tafadhali
 
Wapi naweza pata hiyo cancelling!? Naomba maelekezo tafadhali

Inategemea unaishi wapi kwa sasa bidada. Hospitali nyingi kubwa zinatoa hiyo huduma...hata hivyo kwa baadhi ya hospitali service hiyo inakuwa on demand (unapoihitaji unapewa mtu wa kukusaidia kukupa psychotherapy pale pale au kukupa referral) wakati katika hospitali nyingine counselling iko structured kama moja ya huduma zinazotolewa na kwa kawaida inakuwa chini ya Idara ya Afya/Magonjwa ya Akili. Kwenye miji mikuu kama Dar zipo taasisi nyingine zisizo za kiserikali na zisizo hospitali ziñazotoa huduma hiyo pia.
 
Sasa mnavosema alee mtt aachane na wanaume haja za kimwl anaztuliza vp
 
Usiyalilie mapenzi, mlilie Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…