Niliuza nyumba yangu nikawekeze Kalynda, nikiamini baada ya muda mfupi ningerudi kuinunua tena. Nyumba imeenda, hela imeenda

Niliuza nyumba yangu nikawekeze Kalynda, nikiamini baada ya muda mfupi ningerudi kuinunua tena. Nyumba imeenda, hela imeenda

Wewe mjinga! Japo nami nilikuwa kalynda lakini we ujinga umezidi.

Mimi niliweka 20k tu na jumla nimevuna 378,000/ Kwa mtaji wa 20k tu.

Hadi siku inazimwa nilikuwa nimetoa Pesa hizo zote jumla, na acc ilikuwa na 23000 ya kuzugia!

Ndio maana hainiumi Kwa 20k tu nimekula zaidi ya 378k
 
Buji bhana wewe hata ungepewa hela ya mtu akaipeleke Kalynda usingeipeleka ungepeleka Bank akutane na hela yake huko sio aje kuanza kulia baadae...ila inavyoonekana waliopigwa huko ni wengi sana ni vile wanalilia ndani tuu..
Kilio kimetapakaa nchi nzima, binamu yangu katoka nyumbani Kakonko nilimuonya hakusikia, kaweka mabulungutu yake sasa amekuwa akinisumbua kwa simu, vipi huko Dar, mtandao umerudi? Mimi namjibu China ni mbali sana ukienda kwa miguu. Mtandao umeenda China
 
Wewe mjinga! Japo nami nilikuwa kalynda lakini we ujinga umezidi.
Mimi niliweka 20k tu na jumla nimevuna 378,000/ Kwa mtaji wa 20k tu.
Hadi siku inazimwa nilikuwa nimetoa Pesa hizo zote jumla, na acc ilikuwa na 23000 ya kuzugia!! Ndio maana hainiumi Kwa 20k tu nimekula zaidi ya 378k
Mtu kama wewe huitwaga watu wa machale[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]wengine mazoba yanaingia kichwa kichwa mzima mzima
 
Nilipopata tetes kuwa mambo yamekuwa si mambo tena....nikamfata kijana aliye taka kunishawishi niingie...nikamkuta amekaa pemben ya ofisi yake na aliotesha fedha za kitanzania 2Mil...nikamwambia nimekuja uniunge na mimi nipige pesa...

Kwa muda huo hakukuwa na umeme kwan Tanesco walishafanya yao...ni mida kama ya saa tisa mchwna...akaniambia sawa akaitoa simu yake mfukon..huku akinena ngoja nikupe utajir chapu kabla sim haijazima charge...

Nimesimama pembeni yake huku akiwa kama anahangaika na simu yake bila kunisemesha...takriban kama dk 2 hivi masikin kijana hajui linalo endelea...nikamsemesha tena..oyaa vipi mbona unachelewa..akanijibu naona mtandao mzito hapa...

Nikacheka afu nikamwambia mkuu hyo issue washasepa na hela zenu...nikaona kaanguka kutoka pale kwenye kiti alichokuwa amekaa mpaka chini....na ghafla akanyanyuka na kusema haiwezekani....

Akasema ngoja simu inazima huku akikimbilia ofisin kwake na kusema ngoja niiweke sim charge...nikamkumbusha mkuu umeme haupo ....akarudi akaniambia hata kama wamenipiga....wamenipiga elfu ishirin tuu...,hajamaliza kuongea akatokea jamaa mwingine ambae aliunganishwa na mwamba...akamtaja jina mkuu umeniponza mil yangu imeenda jamaa akasema si bora ww...mim mil 2 nimetoka kuweka juz...nikamkumbusha tena mbona unaniambia uliweka elfu ishirin...so uliweka elfu ishirin ili uvune 800 ndan ya masaa 48..??

Mwamba akawa kama amechanganyikiwa pesa sio yake...ni ya boss wake...na hapo katika hali ile ile ya kuchanganyikiwa...akaniambia mwanangu nisaidie mil moja...yaan nimuazime...nikamjibu unanilipa lin? Cha ajabu akaniambia mtandao ukirudi tuu...natoa chap na pesa yako nakupa...😂😂😂😂

Dah ikanibid nicheke tuu...maana mpaka pale hakuamin kama amepigwa...😂😂
 
Hio inaitwa Risk na ulipofeli wewe ni kuweka all eggs in the same basket...you should always risk something you can afford to loose...
 
Jamani Kalynda ni nini tena? Buji fafanua tulio mbali na jiji la Makala hatuelewi au tumepitwa kushoto
 
Hii Kalynda mbona imetrend sana, hata zile za nyuma ziliwahi kutrend hivi??
 
Back
Top Bottom