Niliuza nyumba yangu nikawekeze Kalynda, nikiamini baada ya muda mfupi ningerudi kuinunua tena. Nyumba imeenda, hela imeenda

Kipigo cha mbwa kachoka kinamuhusu.
Hawa jamaa cjui waliwin vipi...nilichogundua mpaka watu wenye kipato cha chin kabisa walifikiwa...jana kuna mtu namfaham kabisaa...uwezo wake kifedha nikakuta wanajadiliana na mwenzie wote ni mabint...eti fulan kapigwa iv mara fulan iv..nikawahoji na ninyi mlishiriki..mmoja akadakia sitak hata kukumbuka kaka...hamsin yangu imeenda hiv hiv...akanyanyuka akaanza kuchechemea na kuondoka
 
Hahahah walitesti mitambo hao! Sema elf hamsini hela ya kawaida sana kwa mtu mwenye uchumi wa kueleweka.
 
Hahahah walitesti mitambo hao! Sema elf hamsini hela ya kawaida sana kwa mtu mwenye uchumi wa kueleweka.
Yes..lakin kwa yule bint ni kubwa sanaa...wanawake ni wepesi sana kushawishika....Niliwah kupigwa na kitu kizito 2015....na ushawish mkubwa niliupokea kwa mwanamke....ingawa nilichanganya na zangu lakin nikajisemea ngoja nione...tokea pale nilihapa..siji pokea deal au kuwekeza popote pale kwa ushawish wa mwanamke...
 
Hana taco nini huyo binti?
 
Sie wengine hua tupo mwisho wa dunia
 
Nimejifunza kwamba kuna taasisi zimelala, Mchina anakujaje nchini kutapeli wazawa?
😂😂hakuna taasisi iliyolala, kalynda walikuwa na legal business kwa mjibu wa brela sema walichofanya ni tofauti na kile walichosajilia, mtu anakwenda kufanya investment ya hela kubwa kwa kuambiwa tu bila kujiridhisha kila idara ya uhalali wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…