Msangi2024
Member
- Jun 5, 2024
- 17
- 17
Deadpool sasa hivi ni elf 33,000 kwa msajili wa mahakama / huku mwanza mahakama za ardhi kama unaenda kamanga karibu na nyamagana stadium🏟 lakini kuandaliwa deed poll inaandaliwa na mwanasheria yeyote mwenye mhuri malipo ni makubaliano yenu kuanzia elfu 10000.