Nilivyogundua tu Mwanamke ana gari, nikaona huyu siyo Level zangu

Hekima ni Mwalimu

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2015
Posts
472
Reaction score
815
Leo bana nikiwa katika harakati zangu za siku, kulikua Kuna sehemu nimetulia

Ghafla nikaona mwanamke Mzuri na yeye pia alikua ametulia Kwa mazingira yake kumfata ilikua noma

Nikaona hapa akiinuka tu namfata nichukue namba

Akainuka nikamfata nashangaa akaenda kwenye gari raver 4 .

Nikazuga kama naenda mbele

Kimoyomoyo Niko

Huyu siyo level zangu nika achana naye.

Wenzangu vipi ?
uwa mnaweza kuwatokea mademu ambao wamewazidi level za kimaisha
 
Leo bana nikiwa katika harakati zangu za siku , kulikua Kuna sehemu nimetulia

Huyo ndio mwenyewe tatizo umekosa confidence
 
Leo bana nikiwa katika harakati zangu za siku , kulikua Kuna sehemu nimetulia

Ghafla nikaona mwanamke Mzuri na yeye pia alikua ametulia Kwa mazingira yake kumfata ilikua noma

Nikaona hapa akiinuka tu namfata nichukue namba

Akainuka nikamfata nashangaa akaenda kwenye gari raver 4 .

Nikazuga kama naenda mbele

Kimoyomoyo Niko

Huyu siyo level zangu nika achana naye.

Wenzangu vipi ?
uwa mnaweza kuwatokea mademu ambao wamewazidi level za kimaisha
Ungepambana
 
Huu uoga sasa hivi sina bora anikatae ila kumuacha bila kusema kitu hapana na wao wananyege jamani
 
Back
Top Bottom