Nilivyogundua tu Mwanamke ana gari, nikaona huyu siyo Level zangu

Nilivyogundua tu Mwanamke ana gari, nikaona huyu siyo Level zangu

Watu wanatofautiana.. kuna vijana wa kiume wengine hawapo confident kwenye mahusiano ya namna hio..

Sema issue umeiweka sana kwenye kukojozana kitu ambacho ni kidogo kwenye mahusiano kwa ujumla..

Kuna ile hali ya kujihisi hautoshi kwake , yaani we mwenyewe kama mwanaume unajiona you are not enough.. automatically... unajihisi financial freedom uliyonayo haitoshi ku keep nae hata kama huna shida ndogondogo..

Mwanamke anafanya expensive trips, anakwenda expensive vacations na anatembelea expensive restaurants/hotels ...

Mnafika hotel hio mzee, ile mmemaliza kula/kunywa unajitia kama unatoa wallet unataka kulipa bill hadi manzi anakuuliza 'are you sure?' Yaani anaelewa kipengele..

Ku keep up na mwanamke wa namna hio ni ngumu...

Maana hata humu jf tunaona vijana wanashauriana 'mwanamke asikuzidi hata kimo' kuna ukweli flani ndani yake..
Mm mke wangu Lamomy kanizid kila kitu kuanzia age, hela hadi kimo. Na s3h3m zote nazompeleka kuinjoi Tandale mpaka Msongola nalipa mwenyew
 
Back
Top Bottom