Black Pundit
Member
- Dec 24, 2022
- 62
- 197
Bado una safari bdefu Sana kwa mtazamo huo ......Leo bana nikiwa katika harakati zangu za siku, kulikua Kuna sehemu nimetulia
Ghafla nikaona mwanamke Mzuri na yeye pia alikua ametulia Kwa mazingira yake kumfata ilikua noma
Nikaona hapa akiinuka tu namfata nichukue namba
Akainuka nikamfata nashangaa akaenda kwenye gari raver 4 .
Nikazuga kama naenda mbele
Kimoyomoyo Niko
Huyu siyo level zangu nika achana naye.
Wenzangu vipi ?
uwa mnaweza kuwatokea mademu ambao wamewazidi level za kimaisha
Poor mindset