chafya ngumu
JF-Expert Member
- Mar 29, 2026
- 493
- 1,682
Yule dada jinsi alivyonyanyuka nanilivyoona ulemkia wake na ile rangi yake nyeupe!! Nikasema hii ndo level yangu sasa 😋
GLeo bana nikiwa katika harakati zangu za siku , kulikua Kuna sehemu nimetulia
Ghafla nikaona mwanamke Mzuri na yeye pia alikua ametulia Kwa mazingira yake kumfata ilikua noma
Nikaona hapa akiinuka tu namfata nichukue namba
Akainuka nikamfata nashangaa akaenda kwenye gari raver 4 .
Nikazuga kama naenda mbele
Kimoyomoyo Niko
Huyu siyo level zangu nika achana naye.
Wenzangu vipi ?
uwa mnaweza kuwatokea mademu ambao wamewazidi level za kimaisha
Wasio na magariwachovu ni wapi hao hhhhhhhhhh
Unaweza kukuta muda huo kijana ndio alikua anatoka feri kuwapiga Pweza,ananuka shombo kuliko Bahari.vijana wa aina yako ni mzigo kwa taifa
Zali la mentali kama yule Dem prof jTena huyo ndio wa rahisi kuliko wale wanuka shida.
Mm nngekuwa nakimbia huku nacheka 😂Mimi nilimsemesha mama mmoja akaniambia twende tukaongelee kwenye gari Yako.Ilibidi nikachekee choooni.
🤣Unaweza kukuta muda huo kijana ndio alikua anatoka feri kuwapiga Pweza,ananuka shombo kuliko Bahari.
Ungempeleka kwenye mwendokasi,ukamwambia kua huu ndio usafiri wangu.Mimi nilimsemesha mama mmoja akaniambia twende tukaongelee kwenye gari Yako.Ilibidi nikachekee choooni.
😅😅😅😅 Hii Kali.Ungempeleka kwenye mwendokasi,ukamwambia kua huu ndio usafiri wangu.
Hahaha ila mkuu, nimeacha bia nifuatile comment zako , siku hizi unachinjia nyuma ya shingo tu😅Sasa gari lake wewe linakuhusu nini [emoji3]
Hahaha ila mkuu, nimeacha bia nifuatile comment zako , siku hizi unachinjia nyuma ya shingo tu[emoji28]
NimeuzaJamani si wote humu huwa tuna magari au lako umeuza.