Hekima ni Mwalimu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 472
- 815
wachovu ni wapi hao hhhhhhhhhhHuyo ndo mzuri, sasa unataka uendelee kula wachovu? Test msuli hapo
Golden chance never come twice!Mimi nilimsemesha mama mmoja akaniambia twende tukaongelee kwenye gari Yako.Ilibidi nikachekee choooni.
Sure!Uoga wako ndo umasikini wako
Tena huyo ndio wa rahisi kuliko wale wanuka shida.Mwanamke ni mwanamke ,hata akiwa bilionea bado anahitaji support ya mwanamme.
Huyo ndio mwenyewe tatizo umekosa confidenceLeo bana nikiwa katika harakati zangu za siku , kulikua Kuna sehemu nimetulia
Ghafla nikaona mwanamke Mzuri na yeye pia alikua ametulia Kwa mazingira yake kumfata ilikua noma
Nikaona hapa akiinuka tu namfata nichukue namba
Akainuka nikamfata nashangaa akaenda kwenye gari raver 4 .
Nikazuga kama naenda mbele
Kimoyomoyo Niko
Huyu siyo level zangu nika achana naye.
Wenzangu vipi ?
uwa mnaweza kuwatokea mademu ambao wamewazidi level za kimaisha
UngepambanaLeo bana nikiwa katika harakati zangu za siku , kulikua Kuna sehemu nimetulia
Ghafla nikaona mwanamke Mzuri na yeye pia alikua ametulia Kwa mazingira yake kumfata ilikua noma
Nikaona hapa akiinuka tu namfata nichukue namba
Akainuka nikamfata nashangaa akaenda kwenye gari raver 4 .
Nikazuga kama naenda mbele
Kimoyomoyo Niko
Huyu siyo level zangu nika achana naye.
Wenzangu vipi ?
uwa mnaweza kuwatokea mademu ambao wamewazidi level za kimaisha
Uhakika hao kuwapata.Tena huyo ndio wa rahisi kuliko wale wanuka shida.
Huu uoga sasa hivi sina bora anikatae ila kumuacha bila kusema kitu hapana na wao wananyege jamaniLeo bana nikiwa katika harakati zangu za siku , kulikua Kuna sehemu nimetulia