Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Kile kipande kutoka Gaborone mpaka Kazungula ferry wametandika mkeka wa maana..

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wananogewa na road trips. Nina kaka yangu yuko SA hela kwake sio tatizo ila kama mara nne za mwisho anakuja na Hilux flani hivi tangu SA mpaka bongo. Hiyo hela si angepanda ndege, maana kuna services za gari anafanya uhakika na hakai mwaka bila kuja.
 
Ukimaliza itabidi na mimi nitoe yangu ya siku kwenda China kufunga mzigo bila ndugu rafiki wala nini
Tena hii, iandae mkuu. Ukiweza hata ntumie nitaiedit na kuipanga katika episodes, paragraph, marks zote ntazitia. Unajua China ndio shopping centre ya Africa so napenda kuifaham. Hata picha mkuu weka za kutosha.
 
uliza taratibu...
 
Sio chai mpaka hapo yupo sawa kabisa,baridi ya Tunduma na pale boda wanavyopenda sana rushwa,mi nilibananishwa chanjo ya yellow fever wakanila elfu arobaini
Kama chanjo ya yellow fever ulitoa elfu arobaini na Tanzania card ipo kwa elfu kumi upande wa afya sasa hii corona chanjo yake si utatoa laki tano uliza kabla hujayakanyaga itakusaidia popote pale...
 
Ngoja niende miahangaikoni ntarudi badae kusoma Uzi bomba kabisa... Bigup mwandishi Ila jitahidi kuandika episode nyingi kidogo koz unaandika fupifupi sana...
 
Wewe jamaa ni mkweli Ahmad yupo na juzi nimeonana nae ukimuona kama mpemba kwa mbali na kila sehemu akikaa lazima ajaze watu ana story balaa na huyo dada martilda wa mbeya alikua anakuja kununua chocolate na roll on hizi daah sijamuona kitambo dada etu wa kinyakyusa anaongea na mcheshi mno...
 
Kama chanjo ya yellow fever ulitoa elfu arobaini na Tanzania card ipo kwa elfu kumi upande wa afya sasa hii corona chanjo yake si utatoa laki tano uliza kabla hujayakanyaga itakusaidia popote pale...
Hiyo elfu arobaini walinibahatisha kutokana nakutojua exchange rate.Afterall nilikuwa na kwacha za kutosha,so haikusumbua.
Ila ni tahadhari kwa wasafiri wanaotumia boarder ya Tunduma
 
Hiyo elfu arobaini walinibahatisha kutokana nakutojua exchange rate.Afterall nilikuwa na kwacha za kutosha,so haikusumbua.
Ila ni tahadhari kwa wasafiri wanaotumia boarder ya Tunduma
Maana yangu ipo hivi ukitoa hela nyingi wanajua hawa kumbe tukiwatikisa kidogo kwa kitu ambacho ni haki yake kupata anaweza kutoa hata dollar mia kwa ishu ya magonjwa wapo serious ila ukiwa umekamilika unampa anagonga bila kutoa chochote maana kugonga usiingie sio rahisi kihivyo...
 
Kile kipande kutoka Gaborone mpaka Kazungula ferry wametandika mkeka wa maana..

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Mkeka wa nguvu na baadhi ya sehemu wamejenga airstrips!na salute kwa kambi ile ya jeshi la Botswana,they helped me big time kuna siku usiku nilipata pacha karibu kabisa na geti lao Panamatenga barracks i salute you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…