Mkeka wa nguvu na baadhi ya sehemu wamejenga airstrips!na salute kwa kambi ile ya jeshi la Botswana,they helped me big time kuna siku usiku nilipata pacha karibu kabisa na geti lao Panamatenga barracks i salute you
Nice avatarEndelea basi
ππππππmimi bado naandaa kitabu cha harakati zangu..kutokea Dsm-Mogadishu-Yemen-Iran-Dsm-kahama-Geita-Mwanza-kakola-tarime-Dsm-Mafia- Dsm-kampala-Nairobi-kigali-Namibia-Lusaka-Nampula-Pemba-Beira-Maputo- Durban-Pretoria-Joberg- Iran-Kandahar-Peshawar-Kabul-Khost-Uzbegistan-Chechniya-Yemen-Moscow-Madagascar-Capeverde-France-Gabon-Burkinafaso-Namibia - capeverde-grenada-france-Swiss - Namibia -Dsm..
Hakikisha kila unapofika unaacha mbegu sio mnakuwa wavivu wavivu...
Nice avatar
Na ramadhani hiiThenkyu[emoji4]
Mkuu si tuitane huko???Mkuu pole, najifunza sana habari hii. Japo nilisafiri majuu bila misukosuko kama hii yako lkn naona kweli bongo maisha ni kupambana. Ulaya ni mteremko sana. Nilikwenda mwenyewe kwa ramani tu.
Wakuu naanza kusoma michango dada yenu. Story tamu jamaa nitag, ukitaka nihagi..lkn usiniduuu
Hakuna mwanamke mwoga kama demi.kwa taarif fupi...Nina uhakika asilimia 100 kuwa my damned Demi alishajilipua!πππ
Kwa taarifa fupi demi ni damned!πBet on me!Hakuna mwanamke mwoga kama demi.kwa taarif fupi...
I sec uKwa taarifa fupi demi ni damned!Bet on me!
hahahahahahahahahNa ramadhani hii
Na ramadhani hii
Wakishua uyo.....Mill 1 Mbona unafungua goli kabisaMkuu mimi nipo curious kujua hiyo hela ya kuweka akiba bank na nauli ulipataje kwakuwa umesema ulikuwa huna ajira na hali ya maisha ilikuwa ngumu kwako.
Aisee wapo sema humu sijui kama wapo, kuna Dada mmoja mchaga jina sitomtaja niliwahi kukutana nae hotelin sehemu moja inaitwa Mambasa njia ya kwenda kisangani ilikua safari yake ya kwanza lakini alibeba pea kibao viatu vya kimasai alikua anafuata dhahabu/ Oro mapori ya kisangani huko nilipotea miaka kama sita sijarudi kule siku moja nafika tena kisangani nikamuuliza dreva mmoja wa classic za Butembo kisangani huyu dreva anaitwa aggrey ni mtu wa songea, akanipa story za Dada yetu kumbe alikomaa akatoboa akawa ameshanunua truck Benzi kama nne hivi anafuata mizigo viwandani kenya kupeleka Congo, huyu sister hua napenda angekuja akasimulia siku moja maana hakua mdangaji alikua jasiri kwa mtoto wa kike hawa wa oya oya asingethubutu kukata mbuga moshi, uganda then congo bila kua na ndugu.