Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Uzee n namba. Jaribu jutembea uwone wazee wanavyokula bata, achana na hawa wazee wa uswahilini ambao wakipata ela wanafanya vituko

Mzee wa uswazi akishastaafu kazi au akipata hela anafunga ndoa na katoto kadogo Anakomaa kukaridhisha kwa viagra presha inapanda anafia kifuani wanavituko wazee wetu basi tu
 
Halafu unakutana na Mbwiga wa Idara ya Uhamiaji anasema hatoi Pasi mpaka upeleke sababu za Safari

Wengi wa hao maafsaa wamepewa hizo nafasi kiushemeji na asili yao ni kula kulala.

Hawajui kuhangaika.

Hua nawachek najisemea hawa kuvaa uniform zao na kujua salamu za lugha kadhaa wanaona washamaliza, wewe toa kitabu watu wasonge mbele, mimi kikiishaga nazama makao yao makuu namaliza mchezo naondoka zangu,
 
Ni kweli maana wapo vijana mjini ni wakali na hawajawahi kuajiriwa wala kufanya biashara inayoonekana lakini wana mali nyingi,mjini ni mipango tu.
Mimi nakula mshahara mzuri lakini kuna rafiki ananichapa kimapato,na ukimkuta kwenye husle zake wala hujui anapataje mkwanja.
kila mtu ana benchmarks zake anaposema jambo. Like weweunaweza sema leo huna hela Same time una elfu 50 kwenye wallet. nahii inakua defined na uchumi wako.

Jamaa huenda ana uwezo wa kukusanya milionmoja but anahitaji milion100
 
Baada ya kumaliza form four nikaanza safari za Dar kariakoo. Day 1 nilipelekwa na mtu poa sana. Nikazoea.

Nikiwa first year chuo, likizo ndefu niliamua kujilipua Kampala.

Niko mwenyewe, sina ABC wala mwenyeji. Ilikuwa patashika ila nilijifunza mengi.

Ila wewe umezidi kusafiri au unauza ngada mkuu🤐🤐..mara niko india mara abudhabi🤣🤣! Uje kwangu sasa...nikienda sana naishia sirari .hahha..nipe uzoefu wa Kampala mkuu...nzuri sana kutembea aisee
 
Back
Top Bottom