Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Mkuu usicheke ujue kwenye harakati Tanzania niliimaliza maana kusema travellor akae dukani asubiri mteja ambae hawana ahadi nae nilishindwa
Umeandika ukweli mtupu watanzania tumerizika sana na haya maisha. Hatuhangaiki kutafuta maarifa mapya ukishapata hela ya bia tu ndio basi tena
 
mimi bado naandaa kitabu cha harakati zangu..kutokea Dsm-Mogadishu-Yemen-Iran-Dsm-kahama-Geita-Mwanza-kakola-tarime-Dsm-Mafia- Dsm-kampala-Nairobi-kigali-Namibia-Lusaka-Nampula-Pemba-Beira-Maputo- Durban-Pretoria-Joberg- Iran-Kandahar-Peshawar-Kabul-Khost-Uzbegistan-Chechniya-Yemen-Moscow-Madagascar-Capeverde-France-Gabon-Burkinafaso-Namibia - capeverde-grenada-france-Swiss - Namibia -Dsm..

Hakikisha kila unapofika unaacha mbegu sio mnakuwa wavivu wavivu...
ulienda kwa njia ya Google map
 
Napajua naenda kule kila mwaka likizo time atleast wk 1 nikae nifurahi na rafiki zangu wa utoto maana zamani kila likizo tulikuwa tunafika kule.
Ila siku ukitak kwenda kwa yule shost nistue...au hamjawah panga kwendaga...kumtembelea
 
Back
Top Bottom