Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Duh mkuu naweka Oda kabisa ya hicho kitabu ukitoa nishtue. Nisome manaake hata cha Le Mutuz nilikisoma hapo hivyo hivyo hakikunivutia

Mie napenda sana mapambano ya namna hiyo sema ndo hivyo nimezaliwa Ilonga Msalabani nikajilipua Madibila na saizi Niko huku Mbingu ndo mwisho namalizia uzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…