Yani huu mtindo wa gazeti la mzalendo la miaka hiyo sijui wameutoa wapiMkuu nilikuomba uweke links za episodes pale juu inaturahisishia.
Tunapata kazi kutafuta muendelezo....yaani upitie comments zote ndo uje kupata. Inachukua muda
Mwache AnyeHuyu pia anaitwa KANYA na yupo south Africa kwa mujibu wa FACEBOOKView attachment 1758662
Wazee wa Nakoz CampMkubwa nina kama Nyundo 2 hivi na misumali kadhaa sijakanyaga mitaa ya Pta. Vipi wale wamasai waliojazana mitaa ya Bosman karibu na park station bado wapo? Mara ya kwanza kuwaona wamasai hapa kaburu ilikuwa ni mitaa hiyo. Afu hawa jamaa ninachowapendea wao unga, bangi usiwatembezee, kazi au shughuli yao kubwa ni kusuka. Wakikamata kichwa mkongo mwenyew anangoja. Wanachoniuzi wakitembea wanakuwa wengi wengi kama mabata. Mkubwa ukimaliza stori zako karibu jozi kwa watoto wa "mbwa mwitu" uone tunavyowakalisha wazawa, na masela koko kutoka nchi Mbali mbali za East, South, North and West. Sisi ndo wabongo original kutoka Mburahati to Mabibo ilipoanzia komando yosso, Red Soldier. Wape hi watani zangu wote watoto wa kinondweni kina baba ubaya, marashi ya pwani, sefu kalawa nk, yu no wari am say!!
Dah hapa ndio JF [emoji23][emoji23][emoji23]Huyu pia anaitwa KANYA na yupo south Africa kwa mujibu wa FACEBOOKView attachment 1758662
Sasa unafikiri mwanaume mwenye wadhifa anakutana na wangapi akitoka?? Lazima ujibidiishe kumpa vitu adimu walau kumtulizaDuh aiseee. Kumbe kuna hadi video?
Ni kazi ya mods sio yeyeNakubaliana na wewe Chief.
Keagan Paul fanya updates kwenye post yako ya kwanza, tafadhali mkuu.
Ongezea sehemu ya 10 kuendelea.
Nipo ila majukumu ya maisha. JF ni msomaji mzuri kuanzia hapa, siasa, mmu, sports n.k.Ulipotelea wapi Belinda?? Nimejikuta nakumbuka siku za nyuma kidogo zenye wakongwe kongwe huuuh!!
Bora umeliona hili kuliko kukariri maisha,, tena wamejaa wengi hao maboyaWako mazezeta pia
Mbona yameshabaki manyoyamimi nasubiri kipengele cha kumla kanya
Huyu siwezi pigia ndom hata kwa bahati mbaya..Huyu pia anaitwa KANYA na yupo south Africa kwa mujibu wa FACEBOOKView attachment 1758662