Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Acha kudanganya watu hiyo ulaya ya mteremko ni ipi? Only uende kama mwekezaji mwenye mtaji au expert hapo tutakuelewa lakini mteremko kwa kua umefuga virasta na kuvizia vibibi vya beach vinavyokuja kwenye sex tourism hapo hapana
 
Huu uzi ungeuanzisha ijumaa mapema dahh ss weekend ndo basi tena
 
Mkuu niingilie story yako inamaana stand ya harare mliyoshukia inaitwa Roadpot haujutoka nje hata kidogo?
 
Mleta mzi mjanja sana..uliishawahi kwenda kanisani. Unakuta mtu anauza dawa, anaaza na manenooooo mazuriii..then anagawa bure huduma anayotoa, baadae mnaanza kuchangia..

Huu itaishia ukitaka muendelezo wa stori utume elfu 3000
 
Hapana Mkuu, siwezi kufanya hivyo, tena nitajitahidi mpaka kesho iwe imekwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…