Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nimeupenda ujumbe wako.

Afu utakuta mtu yuko serious kujibizana na mtu kama mimi.
Acha tuone mapungufu yao
 
Historia inaonyesha wazi kuwa kila Uzi unaovutia na ukawa unatembea kwa Kasi basi huwa Kuna ka kikundi Cha Malaya maarufu humu JF wanafahamika kwa qanaume wanaowajua wanawake ndo Mana huwa sio shida kuzijua code za Malaya humu wanakuset nawe unajileta kwama chatu na mbwa.

Na Hawa wauzaji wa jf ndo wanakwamisha nyuzi nyingi hasa zinazoenda fasta zisimaliziwe Anza na ule ulishawahi kukutana na nguvu za Giza njoo ule wa yule jamaa aliekuwa anahadithia mauaji ya kimbari funga kazi n Uzi wa parabora na stori ya maisha ya Geneva swiz na ule uliokuja kumuumbua
 
Kweli kabisa bosi umenena ya kweli kabisa! Hivi moderators sijui hawawaoni au na wao ni wateja wao?!
 
Umeongea point sana
 
[emoji3447][emoji3447][emoji817][emoji817][emoji120][emoji120]
 
Yes gauteng nasikia ni noma. Mimi nilikua naishi mji mdogo nje ya capetown unaitwa somerset west. Pale immigration walikua sio wakali sana enzi hizo..labda sasa
Tatizo ukiwa na urafiki nao bila dalili pendwa kuzionesha hawakosi maneno
Mara ohhh yule sio mwanaume kamili ,inawezekana viungo vyake havifanyi Kazi nani anapenda fedheha hizo mkuu
 
hivi watanzania tunahitaji visa kuingia south africa? au unazungumzia passport!
 
Ww sio hadhi yangu binti nikisema nikutane na ww utajificha kwa aibu au kuzima simu kabisa ww endelea na hao wanakufata PM huko mm nipo mbali sana na ww
Mwanaume hajibishani na mwanamke zaidi ya mara moja.piga kimya kama vipi.

Na wewe unachangia kuharibu uzi kama unavyolalamikia wengine kuharibu uzi.

Tu focus kwenye point za msingi ili wengine wajifunze.
Kama hakuna point tuwe wasomaji inatosha.
Kama kujazia nyama tufanye kama anavyofanya konda msafi inasaidia kujifunza kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…