Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Hahahaha hatar sana
 
Tofauti ya huyu jamaa na mabaharia wengine yeye alienda kusoma kihalali wakati wenzake wameenda kusaka maisha kibishi. Sasa analeta swaga za halali wakati watu walikua wanaishi kibishi...
 
Mimi nimeenda hv karibuni tu. Niligongewa nikaambiwa miezi mitatu. Nilimkuta jamaa amechoka anataka kuondoka maana ilikuwa jioni. Akaniambia nenda kwa yule dada sio mimi maana ndo alikuwa ameigia. wakati naondoka akaniuliza umetoka Msumbiji au sehemu tofauti. Nikamjibu natoka Tanzania, akasema njoo hapa kama ni Tanzania. akanigongea miezi mitatu
 
Yaani kawaida ukiingia south wanakupia siku 90 hii nilienda 2019
 
Mkuu fungulia uzi kama hutojali,?!
Iko siku ntawashukia na Uzi ili wapungunguze umalaya Wai humu wanaharibu story Sana mfano hii ilkua na mafunzo mazuri tuu kwa ajili ya vijana na mtu yeyote anaetaka kurisk just for his/her life lakini Hawa wapuuz wameingia Uzi hauna maana Tena pia fuatulia nyuz zote maarafu humu utawakuta Ila ule wa kuliwa kimasihara hawaendi wakienda huko wanajidai n mabikra ili mtu ajikwae wamdake.

Nasema Tena PUMBAVU zao
 
Ni akina nani hao bandika majina tuwalipue!
kawalete wakibisha walipue ...hahahaa
 
Hahahaha
 
Nakazia kidogo hapo mkuu.
Keagan mwenyewe anapatikana kwa kubahatisha halafu story fupi fupi,tukimuuliza maswali sana na akizingatia kuyajibu yote kama wanavyoomba hapa,story itakuwa haiishi jamani.
Kama ni inshu za kujifunza,tuulizeni maswali baada ya stori au twende pm huko.
 
Hilo ndio bogus kabisa nalifahamu[emoji23][emoji23]mambo meengi tukianza kufuatiliana hawana kitu
 
Mimi nimewapiga block..yaani kila kitu wana experience nacho..maneno mengi,kila nyuzi za life based experience wapo na stori zao za kubumba.
Wasome kama wengine, wachangie kama wengine sio kujitanua tanua kama mabata hapa
 
Wale wa kutushiana msuli bado tu hasira azijaisha au ndio kama alivyosema bwan mkubwa mtaa kwamba atasak mtu man to man to make respect?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…