Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nia yangu ilikuwa kusema jinsi yeye yeye alinishobokea na yeye yeye aliniavoid. Pajama ni linguo likubwa likubwa tu halina issue.

Tumuite Keegan aje aendeleze mastori.

Haujaelewa wanachotaka ueleze hustle ulizofuata ukisema ulienda tu kutembea wana hawakuelewi wakati bado wanatafuta tobo wewe unaleta story za pajama mixer kutembea wanaona howcome
 
Haujaelewa wanachotaka ueleze hustle ulizofuata ukisema ulienda tu kutembea wana hawakuelewi wakati bado wanatafuta tobo wewe unaleta story za pajama mixer kutembea wanaona howcome
Sikuenda kuhustle nilienda kutembea, au siruhusiwi kukoment kama sikuenda kuhustle? Mi nimehadithia maana nilishangaa tu mtu kunitaka maongezi halafu baada ya hapo akafunga vioo, nikajiongeza kuwa ni ule ule utamaduni wa wabongo kuogopana tukikutana nje.
 
Ukapelekwa kwa mkemia mkuu wa serikali hahahahaha! Kuna mshikaji wangu alikuwa anajiita mkemia. Yaani jinsi alivyokuwa mzoefu wa kupima kete kwenye mzani alikuwa anajiita mkemia. Akikaa pale sebleni na boxer tu huku akiwa kifua wazi na savana yake pembeni na kuanza kupima sembe kwenye mzani, utasikia anakuambia "mkemia nipo kazini"
😂😂😂😂😂😂😂😂 khumbuuu!!!
 
Jozi, nilikuwa kwenye apartment kama siku ya pili toka nifike, natoka room kwenda kwenye vending machine iliyopo humo humo kwenye apartment kuchukua soda, nikawa niko kwenye simu naongea kiswahili, nikapishana na mdada mzuri hivi wa makamo kama 42 hivi yuko na msichana wa kazi na mtoto wa kike wana vifurushi wanaonekana wametoka shopping. Wakati narudi kwangu yule dada alikuwa bado amesimama ananisubiri nilivyotoka nilikuwa na pajama hivyo alijua kabisa siendi mbali. Akaniambia nimekusikia unaongea kiswahili wewe ni mtz au mkenya? Nikamjibu mTz, tukapiga piga stori hapo akafurahi sana, nikajua nimepata shost, Akanihoji hoji nikamwambia nimekuja tu kutembea, akaniambia yeye anaishi cape town, hapo amepita tu akitokea gaborone kwa mumewe, atakaa siku 4 then ataondoka. Nadhani alifurahi kupata mtu wa kuongea nae kiswahili siku hiyo maana appartment hiyo haikuwa na waswahili zaidi yetu, au kama ilikuwa nao sikupata kuwaona.

Basi, mi nilikaa kama miezi mitatu, nikawa namuona mara kwa mara basement kwenye parking na familia yake mi nikipanda zangu uber. Nikawa najiuliza huyu alisema atakaa siku nne sasa mbona haondoki? Nikajiongeza tu kuwa huyu anaishi hapa hapa, hakutaka tu kuniambia labda alihisi nitamzoea, au labda hakuniamini aliona sina ramani maana kiumri nilikuwa msichana mdogo bado tukawa tukionana tunasalimiana basi mpaka siku naondoka nilimuona jana yake jioni maana tulikuwa tunaishi floor moja, wing moja yeye apartment yake ilikuwa ya familia zile zina 3 bedrooms na vikorombwezi vingine, mimi yangu ilikuwa ndogo, Bedroom+sitting room, kitchen.
tuletee ushuhuda wako mrembo humu ndani.
 
tuletee ushuhuda wako mrembo humu ndani.
Kiukweli sina ushuhuda wowote wa msingi, zaidi nilivyosoma stori ya mtoto wa Makonda nami nikakumbuka tu. Ni kawaida mtu akizungumzia kitu unachoweza kurelate.

Sina stori maana nilienda kutembea/kupumzika, hivyo kazi ni kula kulala na kuzurura, Sina cha msingi cha kuhadithia mkuu.
 
Back
Top Bottom