GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
Nani amekwambia hawakubaliki???....mfukoni wako vizuriHao wanaigeria ujuaji wao unawacost kila sehemu hawakubaliki kutokana na tabia zao za kishenzi,utapeli,wizi etc
Kinachosababisha wakimbie kwao ni umasikini na kwa sasa nchi yao hali ya kisiasa sio nzuri muda wowote kitawaka
Wewe ambaye ukienda "unakubalika"..... Umefaidika nini??
Umasikini wa Naijeria na Huku kwetu wapi kuna nafuu???
Unajua ni hela kiasi gani zinaingia Nigeria kutoka kwa Diaspora?? Ambazo zinasaidia jamii yao??
Hayo mawazo ya kutaka " kukubalika" ndio utopolo tuliojazwa toka tunakua yani mpaka saivi vijana wanahangaika wazazi wanataka wote waajiriwe serikalini( SU-Soma Ule/Shirika la umma) matokeo yake vijana wamebaki kuwa na stress tu. Kasomesha mtoto na hana msaada mzazi kastaafu halafu mtoto anashindwa hata kumsaidia utaleta "kukubalika" kwenye kikao cha familia kumchangia mshua Aende Apollo India matibabu??
Kuna siku nilikua na demu mmoja wa Kiswana kutoka sauzi nikaanza kuongea huo utopolo wa Nyerere kaisaidia South Afrika nikitaka "nikubalike" wakati huyo dada hata Nyerere hamjui wala Tanzania haijui ananishangaa tu na "kukubalika" kwangu kwamba waafrika kusini ndugu zetu😂😂
Matatizo ya Ujamaa hayo......dunia hii ni yq ubepari fanya vyovyote kuwa na hela utakubalika tu. Unadhani tunawapenda sana Wazungu??? Madola wanayoyaleta ndo "tunawakubali"
Badilisheni mindsets hizo,kuweni na uthubutu