imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
ShujaaHuyu siwezi pigia ndom
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShujaaHuyu siwezi pigia ndom
Nitarud tenaSEHEMU YA KUMI NA MOJA
Kwa hiyo Mimi kujileta mwenyewe kwenye huu mtandao wao, jamaa alifurahi sana kuwa amepata mtu wa kumuuzia Dawa zake bila shida.
Siku ile ni kama hatukulala kabisa, Wale jamaa wameshazoea kuchelewa kulala na kuwahi kuamka. Tulilala Saa Kumi na Kuamka Saa Moja. Yan Saa moja asubuhi tukawa macho. Jamaa wakaanza kujiandaa kwa ajili ya kwenda kuzungusha biashara yao hiyo. Na Mimi wakaniambia nijiandae ili tutoke wote wataniacha kwa yule Bosi wao, Jamaa Y. Nadhan kwa kuwa nilikuwa mgeni walishindwa kuniacha peke angu pale gheto. Walikuwa kama hawaniamini hivi.
Tukajiandaa tukatoka wote, Niliacha pale Gheto Begi langu ambalo lina vyeti vyangu ndani. Ukweli muda wote nilikuwa nawaza vile vyeti tu. Hao Hao mpaka kwa yule jamaa Y, wakaniacha pale, wao hawakuchukua muda wakasepa. Pale ghetto tukabaki Mimi na Jamaa Y. Jamaa Y akatengeneza chai pale tukanywa, tulivyomaliza kunywa tukashuka mpaka chini kuna mtaa Fulani tukaelekea huko.
Wakati tunatembea ndo nilipata muda mzuri wa kuuona mjini wao. Ebana nchi ya wenzetu nzuri jamani. Warembo kama wote, wote wamejazia hatari. Nikajisema moyoni ndo mana wabongo wengi wakija huku hawarudi Bongo mpaka baada ya miaka mingi. Ukweli kwa wenzetu mademu wanajua kuvaa, kila stail yan. Warembo wanavaa na kupendeza haswa. Nilikuwa natoa macho mpaka najishtukia.
Mimi na Jamaa Y tulifika mpaka sehemu Fulani karibu na Barabara tukasimama hapo. Tulikuta majamaa wengine wengi kama Tisa hivi nao wamesimama. Pale nilikuja kugundua kuwa ni Kijiwe chao cha kuuzia dawa za Kulevya. Jamaa wanakuwa na Kete ndogo ndogo wanaficha mdomoni, mteja akifika tu, wanatoa mdomoni wanampatia. Jamaa wamevaa Kibrazameni huwezi kuzania kama wanapiga ishu hizo hapo.
Wateja wao wengi waliofika pale walifika na Magari yao. Unakuta gari inapaki pale halafu hawa jamaa mmoja wao anazama ndani ya hiyo Gari anauza mzigo.
Walikuwa wanaficha Dawa zao ndani ya Mdomo ili kama itatokea wamekamatwa na Askari inakuwa rahisi wao kuzimeza na kupoteza ushahidi. Ukweli Mimi sikuwa Comfortable kabisa kusimama nao pale. Unajua hapa Bongo ishu ya Madawa ni kubwa sana lakini sio kule. Kule wanaona kitu cha kawaida tu. Tena wanakushangaa wewe unayewashangaa.
Hawa jamaa wa Kibongo karibia wote walionekana kuwa na maisha mazuri. Wao pia walikuwa wamepaki magari yao pembeni ya Barabara. Kila mmoja ukimuuliza pale atakwambia ana miaka kibao hajarudi Bongo. Hata wanunuzi wao pale walikuwa wanafika washua kweli kweli kuja kununua mizigo.
Maelezo yote hayo alikuwa ananipa kidogo kidogo jamaa Y, Ni Kama vile alikuwa ananifundisha Kazi kiaina. Ukweli kwa siku ile ya kwanza Wabongo wengi niliokutana nao walikuwa wanapiga hizi ishu, wachache sana walikuwa wanafanya Kazi kwenye Masaloon na maeneo mengine. Hata hawa ambao walikuwa wanafanya kwenye Masaloon, nyuma ya pazia walifanya dili hizi. Hata ambao walikuwa na Maduka makubwa nyuma ya biashara zao, Jamaa Y aliniambia nao wanauza unga.
Jamaa Y taratibu aliendelea kunifundisha Kazi na kunionesha Mitaa mbalimbali. Nilimweleza jamaa kuwa Mimi natamani kufanya michogo ya halali. Nakumbuka jamaa alinikatisha sana moyo. Kwamba Kazi za Halali ni ngumu sana kupata. Jamaa aliniuliza "Una Kibali cha kufanyia Kazi? (Work Permit)" Nikamjibu Hapana sina. Akasema kama ni hivyo itakuwa ngumu sana kupata mchongo wa halali.
Kwa asiyefahamu, kwa mujibu wa sheria mtu inabidi uombe Kibali cha Kazi kabla ya kuanza Safari. Yan unaombea ukiwa Bongo. Unakwenda pale Ubalozi wa South Africa uko pale Posta unaomba kabisa Kibali kabla ya kuanza safari. Ukifika pale utapewa taratibu zote za kuomba Kibali. Changamoto sio kuomba Kibali, Changamoto ni hayo Masharti yao.
Kwa hiyo Jamaa Y aliniambia kama sina Kibali nisahau kupata Mchongo wa Halali. Aisee nilichoka. Mchongo pekee uliopo mbele yangu ni wa Dawa za Kulevya.
kijambio[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],wenye matumizi yenu na hicho kiungo
Hebu leta story Bwana. Acha kujibu. Wazee tunataka kumalizia tulale
Kwa hiyo alifikiri wewe ni ....
hahaaa umesha mzoomHuyu pia anaitwa KANYA na yupo south Africa kwa mujibu wa FACEBOOKView attachment 1758662
mwamba umegoma kulala unasubiria jamaa ashushe nondo[emoji38][emoji38][emoji38]Kanya kashapigwa miti..hakuna cha ulokole,uwimbaji kwaya wala nini..
Daah,aliye Juu atuhurumie sana.
Kama huyo anakuaje bikra sasa? au bikra gani alimaanisha?Keagan Paul Naomba muongozo kidogo
Tako la kanya lilikuwa size hii, au kubwa kuliko hili ??
Kwenye maelezo yako umeeleza juu juuView attachment 1758509
Wana mmemind dada yetu kuona kuwa aliwapelekea wazulu mzigo huku kaka zake hatujapokea hata posa kutoka kwa babu yao Madiba.ulivaa pajama ulitoka kufanya nini humo ndani
Mkuu tupia location hata kwa code, natafuta hizi connectionWengi sana mkuu sema mishe zako hazikukutanishi nao labda. Mbezi,Tegeta wamejaa kuanzia wenye makanisa,wauza magari,wauzaji wa bidhaa za China,wauza kompyuta,wataalam wa IT,matapeli na wezi wa kwenye ATM mpaka wauza ngada
Kuna chimbo siku moja nilishangaa kukutana na jamii ya waHungary zaidi ya 100 wote wafanya biashara Dsm
Buda story imeanza juzi tu au unMix na ya khumbu?Hivi hii stori bado inaendeleaga tu[emoji15],hii sasa itakuwa isidingo.
Inategemea hiyo picha ni ya lini, mleta uzi amesema alikuwa bondeni 2014,miaka sita iliyopita.Kama huyo anakuaje bikra sasa? au bikra gani alimaanisha?
Duh, wewe kweli umepotea, yaani hicho kipengele hujakiona? Chibumbu cha Kanya tayari kilishapembuliwa zamani!mimi nasubiri kipengele cha kumla kanya
Uje utusimulie mamy, usisahau kunitagNakwambia huu mtako wangu unanipa wakati mgumu sana jamani.
Waarabi si watu wazuri kabisa....
ndo yeye bnIla hatuna uhakika kama ni yeye [emoji41]View attachment 1758747