Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Iko siku ntawashukia na Uzi ili wapungunguze umalaya Wai humu wanaharibu story Sana mfano hii ilkua na mafunzo mazuri tuu kwa ajili ya vijana na mtu yeyote anaetaka kurisk just for his/her life lakini Hawa wapuuz wameingia Uzi hauna maana Tena pia fuatulia nyuz zote maarafu humu utawakuta Ila ule wa kuliwa kimasihara hawaendi wakienda huko wanajidai n mabikra ili mtu ajikwae wamdake.

Nasema Tena PUMBAVU zao
Duuh!!

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Mtu unaleta uzi,kwa moyo wako kabisa mweupe tena hatujakuomba wala hata hatujuwi kama una uzi pendwa.

Unashusha episode kadhaa Mungu ni wa wote gafla uzi wako unapendwa watu wanaacha kazi, wanakopa bando, yaani kila dk,wanacheki uzi.

Halafu,gafla speed ya kushusha episode inaanza kupungua mara narudi, mara kesho mara yanapita masaa 24 kimya.


Hii tabia ni ukatali kama yalivyo matendo mengine ya ukatili.

Ukianzisha kitu kimalize kiishe raha ya story,isomwe ikiwa bado ya moto na bando zetu hazijachacha.

Ukileta uzi au,story,hlf usipate watu unajisikia vibaya,watu wakija unapotea mnaoleta uzi mnatuchanganya.

Tunaponunua kubando, tukatenga muda kusoma uzi kati ya hbr kibao zilizo humu JF ni mapenzi na uzi huo.

SAWA TUNAJUWA KUNA DHARULA, SHIDA MATATIZO,,MUDA NA MENGINE, UKIPATA DHARULA UKAHISI HUTAANDIKA KWA MUDA SAHIHI, TOA TAARIFA KUWA WADAU KUNA DHARULA NAOMBA SIKU 2 NIPUMZIKE NIDYO TUTAENDELEA. Huo ndiyo uislamu, na ndiyo ukiristo, na ungwana.

unapoleta kisa chako wazi inamaana kuwa unataka tujifunze jambo na kufurahia pia kulingana na story iliyoletwa.


WANAJF kabla ya kuleta story yako plz kaa tafakari na ufanya maamuzi kuwa naandika hii story,mwanzo mwisho iishe na nimejitolea kwa moyo wangu wote ukimaliza kiapo ndiyo unaanza kuandika.

Ukisubiri sana kitu hata ile radha yake inaanza kuisha.

MLETA UZI,,TUNASHKRU,KWA UZI WAKO, TUNASHKRU,KWA EPISODI 16,

LAKINI kaa tafakari kama tunaendelea basi tuendelee kama imeisha basi sema wazi,,kama una dharula sema wazi pia.

Kutuweka roho juu kama tunaoga njia panda siyo fair kabisa.

NB. wengine pia wenye nia za kuleta story,kabla ya kuleta kaa fanya maamuzi kiwa story hii niwasimulie au nikae nayo daima,, hbr za kusimulia mara mchango wa MB, mara unapotea siyo kitu sahihi.
 
Dah yan #Daudi Bashite unatutesa kweli yan siku inaisha hiv hiv. Ebu mwaga wino next epsode
 
Ruvuma ni njia ya Mtwara. Ila njia haifai kupita si nchi kavu wala majini.
Ukitaka kupitia njia ya maji nenda kazugie Msimbati ili wakufikishe Parma. Ugumu ni kutoboa kuipata Mocimboua.
Kama una ulazima wa kupitia Msumbiji bora upitie Blantyre hadi Beira malori ni mengi
Nasikia hali ya usalama kidogo tatizo. Kwa sasa ipo vipi maana nina moyo wa plastiki
 
Hahhhhaaa ilishindwa hata kufanya convention kwenye simu kujua kwcha moja sawa na tsh ngapi? Siku nyingine usivuke boda bila kuchange hela mzee watu wale wKiwa upande wao wanKuwa wasumbufu balaa. Ila ungekuwa upande wa tz ungepewa ushirikiana hata na watoa change wa kibongo
Mkuu hujui kusoma wakati inaelekea hata Story za Yesu alivyoenda kukamatwa ili asurubiwe akihadithia mtu utasema Yesu vipi anajua kabisa anatafutwa alishindwaje kununua Bastola kwa ajili ya Ulinzi wake... Mtu yupo Safarini afu nje ya nchi atoe Simu internet angewekaje kwa wifi ya Nani? na hajakuambia kama alikuwa na simu na amejaribu kutafuta msaada kote hadi kwenye basi lao lakini akashindwa!

Na Story ya Nuhu unatema why hakutumia Drone au cctv kwenye Safina kujua kama mvua imeisha?
 
Back
Top Bottom