Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Tena eti ailete uzi wake.Wajinga kama wewe lazima muwepo tu. Unabaki kushuku na kujishuku.
Nimemtoa thamani sana huyo jamaa hapo juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena eti ailete uzi wake.Wajinga kama wewe lazima muwepo tu. Unabaki kushuku na kujishuku.
Labda upite Mlanje Malawi au vuka boda ya Muanza hadi Tete then anza kushuka chini kuzitafuta kona za limto liuaji kwa mambaSasa hivi njia ya Msumbiji inapitika kweli? maana wale Magaidi wako bize kuchinja Vichwa vya Wananchi utasema msimu wa mavuno ya vichwa
Duuh!!Iko siku ntawashukia na Uzi ili wapungunguze umalaya Wai humu wanaharibu story Sana mfano hii ilkua na mafunzo mazuri tuu kwa ajili ya vijana na mtu yeyote anaetaka kurisk just for his/her life lakini Hawa wapuuz wameingia Uzi hauna maana Tena pia fuatulia nyuz zote maarafu humu utawakuta Ila ule wa kuliwa kimasihara hawaendi wakienda huko wanajidai n mabikra ili mtu ajikwae wamdake.
Nasema Tena PUMBAVU zao
Mkuu huo Mto ndio Ruvuma?Labda upite Mlanje Malawi au vuka boda ya Muanza hadi Tete then anza kushuka chini kuzitafuta kona za limto liuaji kwa mamba
Ukimaliza story ya kumbu, tafuta story inaitwa "how i met my wife" na story ya HAMIDA, Utanishukuru baadae.
Ruvuma ni njia ya Mtwara. Ila njia haifai kupita si nchi kavu wala majini.Mkuu huo Mto ndio Ruvuma?
Hiyo Palma si ndio kuna Wanamgambo wa Kigaidi? Naona bora Malawi, hiyo njia mimi ni Zero yaani sijawahi pitaMsimbati ili wakufikishe Parma.
Kichaga cha wapi hiki 👊🏿😊😂[emoji23][emoji23] ani maisho shwashu se?..
Ngasuva navi mshiki..
Lakini wewe ni mzoefu barabarani mkuu.Hiyo Palma si ndio kuna Wanamgambo wa Kigaidi? Naona bora Malawi, hiyo njia mimi ni Zero yaani sijawahi pita
Nasikia hali ya usalama kidogo tatizo. Kwa sasa ipo vipi maana nina moyo wa plastikiRuvuma ni njia ya Mtwara. Ila njia haifai kupita si nchi kavu wala majini.
Ukitaka kupitia njia ya maji nenda kazugie Msimbati ili wakufikishe Parma. Ugumu ni kutoboa kuipata Mocimboua.
Kama una ulazima wa kupitia Msumbiji bora upitie Blantyre hadi Beira malori ni mengi
Mkuu hujui kusoma wakati inaelekea hata Story za Yesu alivyoenda kukamatwa ili asurubiwe akihadithia mtu utasema Yesu vipi anajua kabisa anatafutwa alishindwaje kununua Bastola kwa ajili ya Ulinzi wake... Mtu yupo Safarini afu nje ya nchi atoe Simu internet angewekaje kwa wifi ya Nani? na hajakuambia kama alikuwa na simu na amejaribu kutafuta msaada kote hadi kwenye basi lao lakini akashindwa!Hahhhhaaa ilishindwa hata kufanya convention kwenye simu kujua kwcha moja sawa na tsh ngapi? Siku nyingine usivuke boda bila kuchange hela mzee watu wale wKiwa upande wao wanKuwa wasumbufu balaa. Ila ungekuwa upande wa tz ungepewa ushirikiana hata na watoa change wa kibongo
Sikushauri mkuu, labda uamue maamuzi ya (kiroho ngumu) kiplastikiNasikia hali ya usalama kidogo tatizo. Kwa sasa ipo vipi maana nina moyo wa plastiki