Sir Bulbul
Senior Member
- Feb 3, 2024
- 151
- 324
Na ninavyowajua wapemba anavyopelekewa moto huko nina uhakika hata muda wa kukuwaza hanao, pole sana imeisha hiyo, wewe ulipata bahati ukaichezea, siku hizi kupata mwanamke anaehitaji kuolewa bila ya kutaka msaada wa kupata ahueni ya maisha haiwezekani, ni wanawake wachache wanaohitaji ndoa siku hizi bila kujali maslahi, nakushauri tu humu jf hakuna demu anaetaka kuolewa, usije ukajichanganya ukadhani utapa mtu humu big no.