Sir Bulbul
Senior Member
- Feb 3, 2024
- 151
- 324
Jirani nimeona umecheka hebu samaraizi 🤣Ulimchukulia poa sana, kipindi chote hicho hata hukumtemesha mate, acha aende kwa rotimi.
Jirani mleta mada alichelewa chelewa akakuta mwana sio wake.Jirani nimeona umecheka hebu samaraizi 🤣
Whaaaaat..????!!!Jirani mleta mada alichelewa chelewa akakuta mwana sio wake.
Siku moja kabla ya harusi alipigwa kizinga 200k, kesho yake anapiga simu inapokelewa na mtu ndio anapewa taarifa za mtoto mkali kuolewa siku hiyo.
Kamnyoosha hasa😂😂😂Huyo anatakiwa apewe tuzo kajua kutunyooshea mtu 🤣🤣🤣
Wii sijasoma hata mada yenyewe nimechangia tyuuu.!! Sijui nimepatia??
Naomba uwasiliane na mleta bandiko atamfikishiaWhaaaaat..????!!!
Naomba bi harusi anywe hennessy bill kwangu 🤸♀️🤸♀️🤸♀️
🤣🤣🤣🤣🤸♀️Naomba uwasiliane na mleta bandiko atamfikishia
Umewajuaje Sir wanaume wa kipemba kuwa wanapeleka moto? Au na wewe ni Mpemba?Na ninavyowajua wapemba anavyopelekewa moto huko nina uhakika hata muda wa kukuwaza hanao, pole sana imeisha hiyo, wewe ulipata bahati ukaichezea, siku hizi kupata mwanamke anaehitaji kuolewa bila ya kutaka msaada wa kupata ahueni ya maisha haiwezekani, ni wanawake wachache wanaohitaji ndoa siku hizi bila kujali maslahi, nakushauri tu humu jf hakuna demu anaetaka kuolewa, usije ukajichanganya ukadhani utapa mtu humu big no.