Nilivyomkomesha tapeli wa viwanja Kivule Dar es Salaam

😄😄😄hongera lakini
 
Bora imeisha ungechelewa mpaka kesho comments zingefika 2,000. Nilichojifunza hapa ni kila mtu kwenye story yako anaitwa Juma.
Hao majuma wote ni majina yao kuanzia huyo tapeli na hata wale maafande ndugu,si kosa langu wao kuitwa Juma ni wahusika ndio hao na sikutaka kuwabadilisha lolote
 
Ukienda pale Kidomole Fukayosi Bagamoyo utatapeliwa ndani ya ofisi ya Serikali ya mtaa - hautaamini.
Kuna mwanangu kalia uko bagamoyo,kiukweli sasa hv sitaki kununua eneo ambalo litaniletea uvivu kwenda kulitembelea,ni bora nisinunue tu
 
Ukienda pale Kidomole Fukayosi Bagamoyo utatapeliwa ndani ya ofisi ya Serikali ya mtaa - hautaamini.
Kwa maana hiyo utakuwa na mtu zaidi ya mmoja wa kumshtaki. Hata hakimu ataona ulifanya jitihada kufuata taratibu. Kuliko kusainishiana na mtu kaja na mihuri site...
 
Muandishi mzuri sana Tena wa kisa cha kweli kweliii
Hongera mwaya.....
Ila nimecheka sana
Asante mdada,umechekeshwa na nini tena nishirikishe tucheke wote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante mdada,umechekeshwa na nini tena nishirikishe tucheke wote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulivyopigana , ulivyompelekesha hakim, na nimepiga picha ya huyo tapeli namna alivyokimbia hadi akajikwaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…