Nilivyomkomesha tapeli wa viwanja Kivule Dar es Salaam

Kaka Sanze changamoto zinatokea kila siku na mandishi ni mwalimu anayeishi kikubwa ni kushea changamoto tunazozipitia ktk maisha ya kila siku,yule jamaa ni mkorofi toka muda mrefu na ana mtandao wake je wewe bwana Sanze haujawahi kutapeliwa ktk eneo lolote? Km toka umezaliwa na maisha yake yameenda smooth hongera sana ila kama mwana jamii nina wajibu wa kuiasa jamii yangu kuyatizama madhaifu yangu kama mwanadamu na wao kujihadhari yasije kuwakuta maana mie nilidhulumiwa lakini at last changu kilipatikana je ni wangapi chao kinarudi? Humu tu ktk huu uzi umeziona comment za waja wakitoa shuhuda zao
 
Umeona technic iliyotumika hapo? Unapoambiwa moyo wa mtu msitu ujue huo ujumbe una maana kubwa
 
Umeona technic iliyotumika hapo? Unapoambiwa moyo wa mtu msitu ujue huo ujumbe una maana kubwa
Na Mara nyingi Matapeli ni Wazee, watu wazima n wamama watu wazima ambao huwezi kuwadhania.

Na Mara nyingi huwa wanajifanya ni watu wema sana.
 
Na Mara nyingi Matapeli ni Wazee, watu wazima n wamama watu wazima ambao huwezi kuwadhania.

Na Mara nyingi huwa wanajifanya ni watu wema sana.
Unajua kuna imani kuwa wazee na wamama ni watu ambao hata kama walikuwa waharifu basi kwakuwa wameshaenda age watakuwa wameachana na hayo mambo kumbe wizi hauna jinsia wala umri kwani hata wezi sio wote wanastaafu wengine wanaendelea na kazi za mkataba😂😂
 
Duh poleni sana.. aliuziwa nini hela nyingi hivyo
Tushapoa,,,,, Ni kijana anaemfaham kabisa, alimuingia kwa gia ya kuwa ampe pesa afanye biashara afu anarudisha yote na faida juu(alitumia jina la mtu mzito kuwa huyo mtu ndo anahitaji hizo pesa). Nahisi alimteka akili kishirikina mana asee mzee wangu so wakutoa hela kizembe, pesa yake NGUMU
 
Njoo pm
 
Ikawaje
 
Kiukwel mahakaman huwa ni kupoteza muda tu

Na unaweza kulipwa stahik yako bado mahakama wakabak nayo

Hii nchi kama unapesa za nauli za kuendea mahakaman na upo na muda wa kutosha yaan kaz zako hazikuban,unaweza kunyanyasa raia mpaka wakajuta maana mahakama zetu hz mpaka upate haki lazima usote sana
 
Pole sana ila umehangaika sana,kama una moyo mgumu unaweza tafuta chinja chinja

Huku kwetu tuna hakimu nae anapgo za ajabu ajabu sana,unaweza lipwa hela na mtuhumiwa wako akabak nazo afu wewe mhusika anakupa hata kidogo au asikupatie
 
Kuna wakati polis huwa wanawatetea watuhumiwa sijui ni kwann

Kuna jamaa alikuwa na tabia ya kuwato m b mademu kwa nguvu,sasa siku moja kamkaba demu huko njiani,yule demu katika purukushani akafanikiwa kukimbia mpaka ndani mwangu,wakat huo nilikuwa nimelala,sebulen kulikuwa kuna mabinti zang wanatazama tv,walipoona yule binti ameingia ndan kwa speed wakakimbilia vyumban mwao na mmoja akaja kuniita

Ile nimetoka nakuta jamaa kamkaba huyo demu anamvuta watoke waende nje,kwanza nilipofika nikapigwa na bumbu wazi nikawa nawatazama tu,yule demu alipogoma jamaa akaanza kumtandika mangumi mazito tena ya usoni mpaka demu akaanza kutoka damu katika zile purukushan wakavunja chupa ya chai,ikabid nimbane jamaa kuwa sasa ulipofika na unachokifanya nidharau,nikamwambia hii chupa nataka kesho ulete nyingine,

Kesho yake akizan inshu ni rahis,niliandaa mgambo wakamkamata maana alijileta tuongee,nikamwambia hyo jana nimepoteza simu na huo uharibu wa chupa nahitaji 150,000 hapa hapa nikuachie,jamaa akasema hana eti atanitafutia

Kufupisha story nilimpeleka mpaka polis,nilitaka mashitaka yawe ubakaji,uharibifu na upotevu wa simu lakin kule polis maelezo niliyotoa wakayabadilisha hilo la ubakaj wakalitoa,pamoja na kuwa pale polis tulikuta tena anakosa la wizi na unyang'anyi

tUlifika mpaka mahakaman lakin stahik yang nililipwa nje ya mahakama na hakimu alipojua akataka niende ili hela waichukue,sikwenda,karani alinitafuta sana nikawa nawachenga ikaisha hvyo,wakaniambia siku nikipata kesi tena watadili na mimi
 
Kazi kwelikweli,

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mwingine hakimu aliniita sehemu kunitaka kutoa rushwa, nikawa tayari nimejipanga na camera ya Siri ndani ya shati langu.

Nafika tu jamaa akaanza kunipiga sound , nakamwambia unataka ngapi? Akasema laki, huku namchukua vedio kisiri.

Baada ya kurekodi kimya kimya, nikamwambia kama Hela sitoi na kesi nitashinda , akasema hutoboi, nikasema sawa.

Siku inayofuata nikaenda mahakamani, hakimu akawa anazingua anaoekana Yuko upande wa mtuhumiwa.

Uzuri siku hiyo ni Kawa na watu wangu wa system. Basi hasira zikanishika nikaweka vedio hadharani.

Kesi iliisha hapo hapo , hakimu akakamatwa Sasa hivi Yuko gerezani
 

Hii ndio dawa yao tu
 
Nakumbuka mama yangu baada ya kustafu alinunua nyumba,kumbe Ile nyumba Kuna mgogoro baina ya muuzaji na rafiki yake sijui ni kweli au mchongo[emoji1] Tena biashara ilifanyika mbele ya mbele ya wakili,mama kapewa makaratasi jamaa ndio anamiliki jengo na wapangaji ndani,nilivyopewa tarifa nikarudi kuongeza nguvu ni hakimu mkazi kisutu ndio hatukuwahi kwenda,mpaka jamaa akatuma ujumbe tukae chini tuyaonge tuone namna ya kumfilisi rafiki yake ambae ndio muuzaji,nikasema hapana Kila mmoja apambane atakavyoona inafaa,wakti huu nishashika hati za nyumba zake huyu muuzaji Kama nyumba tatu,siyo kilahisi ni mwendo wa vibao na muda wote uso [emoji34][emoji34] aaaaaah mbona iliwezekana.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Kwa style hio kufuatilia hio million 3 ni kama imechukua mwaka mzima. Bora kumuitia mwizi tu huyo tapeli watu wampige nali.
 
Kwa style hio kufuatilia hio million 3 ni kama imechukua mwaka mzima. Bora kumuitia mwizi tu huyo tapeli watu wampige nali.
Daah maana nikihesabu kupigwa tarehe ..Kuna wiki 2 kama mara 3 , Kuna za mwezi kama mara tatu Kuna zile jamaa hatokei Bado Kuna mpelelezi Juma na mpelelezi Mzee Juma yaani ..mwaka unakaribia au unazidi kabisa ....
 
Watu wa pccb au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…