Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

Story nzuri, nimeipenda...tatizo huwa haziishi, mnazikimbia.

Hivi kwa nini watu wa Mbeya ni wakatili, katika matukio ya kijambazi huwezi kukosa "a man from Mbozi/Mbeya"
😆😆😆,Sisi ni majasiri sana Mkuu .
 
Don’t say it is true, utakamatwa wewe na maaskari, be very cautious, usidhanie huku ni salama, maandishi yako yanatosha kukufungulia mashtaka sbb ukifanya uhalifu hauna expiry date..!! Don’t expose yourself, utakamatwa haraka sana
😆😆😆 Nitakamatwa tena mara ya pili baada ya kukaa ndani One Year.
 
Back
Top Bottom