Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

Noma sana...... endelea aisee
 
Hii personal character ni kama tuko kundi Moja na Kuna kipindi ilinifanya nihisi huenda na matatizo ila at last niligundua sio tatizo japo Hadi sasa inanipa wakayi mgumu kuchangamana na watu wengine
hata mimi ninayo hiyo daah hadi mtu awe rafiki yangu ni shuguli sana. Ni mtu ninayependa na ku enjoy kukaa peke yangu.. Mpaka huku kitaa ninapokaa wananiogopa.
Ila ni mtu damu zikiendana ni mwongeaji na mchekeshakaji mzuri sana.
 
Kwenye kuogoopwa hapo πŸ€”πŸ€”πŸ€”, Au unawapigaga?
 
Ukiingia kwenye uharifu ndo utagundua kumbe polisi wapo na wanafanya kazi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kuna clip jamaa anasema, polisi unaona wanazurula na cruiser zao unaona kama hawana kazi, wanakula upepo na mishahara ya bure huku wakimaliza wese tu..
Ukiwa mhalifu na ukajaa kwenye 18 zao ndo utaiona kazi yao vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…