Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Hiyo ni tea bila sugar bro.1. Hotelia katika hoteli gani (si lazima saana kujibu, itapendeza zaidi ukijibu)
2.Ulikuwa unaishi sehemu gani?
3.Kanisa la wapi uliloenda kupokea uponyaji.
4.ilikuwa mwaka upi?
Msitufanye tuokoke kwa chai.
Jemima Mrembo