Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee umeshupaza shingo na mishipa ya akili kusema stroy ni ya uwongo.
Siye wasomaji tumeipenda hiyo story ya uongo, wewe inakuuma nini??
Mbona huko nje unadanganywa na mkeo/demu na bado hushupazi shingo kama hapa kwenye Ushuhuda wa Imani?
Pepoo tokaaaaaa! Sema hayo maneno mara tatu na utakuwa huru.
Wewe unashupalia ushuhuda wa uongo kwani wewe ndio uliyepata hizo changamoto?.
Asante kwa kuelewa,kwa pamoja wakristo tukielewa haya unayozungumza hakika Imani tutailinda.Kabisa, kuna namna makanisa ya kilokole yanaanza kuharalisha uongo kwa kigezo cha kuvuta watu kwa Yesu. Binafsi sidhani kama Yesu anahitaji kuvuta watu kwake kwa namna hiyo maana kwa utukufu wake kila kiumbe kiko chini ya mamlaka yake so tusitumie nguvu kubwa mpaka kukufuru.
Hauna akili wewe. Umetoka huko umeleta shobo kwenye uzi wa watu kuwa ni wa uongo.We nae utakuja kugongwa nyuma Mambo ya kudandia kwa mbele Mambo yasokuhusu.
Tulifundishwa darasani kuwa unapotembea barabarani unatakiwa utembelee upande wa kulia mwa barabara ili magari yanayokuwa upande wako yaje upande wa mbele. Kwani huyo hakupita darasa la tatu mpaka aje agongwe kwanyuma dadaangu?We nae utakuja kugongwa nyuma Mambo ya kudandia kwa mbele Mambo yasokuhusu.
Nakusisitizia uache kudandia gari kwa mbele, mwanaume mwenye kiherehere Kama wewe hata zile nahino zake hazina uvumilivu Ni pa paaa kwishaaa......jitulize ili uwe mwanaume kamiliHauna akili wewe. Umetoka huko umeleta shobo kwenye uzi wa watu kuwa ni wa uongo.
Utaingiliwa nyuma wewe kwa akili yako hiyo finyu na wivu wa kuona mtu kaleta ushuuda wake..
Uzi mzima una comment umeshadadia kuwa ni uongo, hata mwenye uzi humjui ila umetanua miguu unasema ni uongo
Paka shumee wewe
Huna hoja sioni sababu ya kubishana na mwanamke uliyeshindwana na mumeo kwa kujifanya mjuaji wa kula kitu.Nakusisitizia uache kudandia gari kwa mbele, mwanaume mwenye kiherehere Kama wewe hata zile nahino zake hazina uvumilivu Ni pa paaa kwishaaa......jitulize ili uwe mwanaume kamili
Kwani hiyo Neema si IPO Kwa Kila mtuUtangaziwe biashara ili iweje? Kuokoa sio kirahisi kama unavyodhani. Watu wanaokolewa kwa Neema ya Kristo
1. Hotelia katika hoteli gani (si lazima saana kujibu, itapendeza zaidi ukijibu)
2. Ulikuwa unaishi sehemu gani?
3. Kanisa la wapi uliloenda kupokea uponyaji.
4. Ilikuwa mwaka upi?
Msitufanye tuokoke kwa chai.
Jemima Mrembo
kubabeki.Kuna mwingine alichukua mume wa mtu, alipoamka akakuta kanyolewa liji nywele lote la sehemu mbaya. Halafu akakuta kuna ka glass kamejaa usaha, halafu kuna kimrija kimeingizwa huko Tukuyu kwa bibi, kisha kimeingizwa kwenye hicho ki glass.
Watu wabayakubabeki.
Sio huna haja ya kubishana SEMA SoMo limekuingia....Huna hoja sioni sababu ya kubishana na mwanamke uliyeshindwana na mumeo kwa kujifanya mjuaji wa kula kitu.
Kitulize unazeeka sasa
Ipo kwa ajili ya walioneemeka tuKwani hiyo Neema si IPO Kwa Kila mtu
BlessingsAmina Amina Amina
AminaHakuna Jina lingine tulilopewa wanadamu lipasalo kuokolewa kwalo isipokuwa jina la Yesu pekee. Ubarikiwe kwa ushuhuda.
Wachawi wanaaminika kuliko nguvu ya Kristo, kweli watu wamefungwa mashimoni kwenye giza totoroAsante sana ushuhuda huu mzuri wenye kuinua imani za watu. Laiti watu wangejua nguvu na uwezo wa Yesu Kristo ulivyo wa ajabu wangeepuka mateso na manyanyaso ya mapepo. Atukuzwe Bwana Yesu Kristo!
HakikaUsimuache Yesu wala usipotelee mwisho Yesu ndio mambo yote hakuna uchawi wala ulozi ndani ya Yesu
Lakini mtoto lazima azaliweHabari isiyo na picha ni sawa na mimba isiyo na baba